kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

alikiba – infidèle كلمات اغاني

Loading...

ilibidi tu nijiongeze, niliisha
pia bora nijipongeze, naonayamekwisha
lakini uliniweza maskini, uliniweza mie ukanijua
nilipungua sana bwana, ninatubu mnanicheka
ukantawala moyo ukauchukua, bila aibu ukanitesa
k_mbe ni liar, unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako wewe
k_mbe ni liar, unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako
bora nikuache we uende, nami niende
tusiishi kizembe eh, niache mawenge
bora uende, nami niende
tusiishi kizembe eh, niache mawenge ah aah

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...