kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ali mukhwana – tumekusanyika كلمات اغاني

Loading...

tumekusanyika hapa kkuabud
sisi tumekusanyika hapa kukusifu bwana
sisi tumekusanyika hapa kukushukuru bwana
mungu mwenye nguvu rabi pokea sifa.

hakuna kama wewe.baba wa upendo. tena nani kama wewe bwana.
nakushukuru kwa mapenzi yako baba. umenipenda umenipa tumaini.
umenipa nguvu za kukushukuru babae.
mungu mwenye nguvu rabii pokea sifa.
wewe ndiye bwana. wewe ndiye muba wetu ee.
tutakulinganisha na nani baba tutakufananisha na
nini ee ukiinua nani wa kushusha. “to be continued”

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...