kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ali kiba – oya oya كلمات اغاني

Loading...

aah aaah aah…
oh ayoo, ooh ayoo ayoo ooh
eeh eeh…. mmmmmh
(yogo on the beats)

chovya choyo
uko ng’ari ng’ari mama
wa majuu
ushakukubali moyo

nakuita eh, nakuita
nisikie mami
makopa makopa yanajiita
jina lako nani?

we ni moko, limenipotosha
nikutinge moka, tai na suti eh
we kocha kocha, hatari na nusu
nafunganga moko, dakika buku

kama kupenda nimedhaminia kwako
sa oya oya
naheshimu mapenzi kutoka kwako
sa oya oya

nikuoe ndo uone mama
sa oya oya
na ni mwendo w_ngu ooh
mama ooh
oya oya, oya oya eh
oya oya, oya oya aah

navimba najiona mwamba
kwenye mboni siruhusu chongo maa yoo
yaani kama noma na iwe noma yoo
waonyeshe kipenzi changu cha ngama

waite yoo, waite ite
waite yoo, waite ite

waite ite, waite ite ite aah
waite oooh, waite te yoo

nakuita eh, nakuita
nisikie mami
makopa makopa yanajiita
jina lako nani?

we ni moko, limenipotosha
nikutingе moka, tai na suti eh
we kocha kocha, hatari na nusu
nafunganga moko, dakika buku

kama kupenda nimеdhaminia kwako
sa oya oya
naheshimu mapenzi kutoka kwako
sa oya oya
nikuoe ndo uone mama
sa oya oya
na ni mwendo w_ngu ooh
mama ooh

oya oya, oya oya eh
oya oya, oya oya aah

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...