kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ali kiba – bwana mdogo كلمات اغاني

Loading...

(yogo on the beats)

my gal we ni matata, body matata mbaya eeh
bwana mdogo umenikamata, unanicheza kama karata
tulikutana kule cape cape town
mpaka accra town dowtown, eeh
eti una sifa za kudanga
na mengi wanasema sijaona

wivu umewaingia, mungu kanionyesha ishara
ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya
wivu umewaingia, mungu kanionyesha ishara
ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya

wakiniona wananiita (bwa mdogo)
bwana mdogo, bwa mdogo
hawajui ninachofanya mi (bwa mdogo)
bwana mdogo, bwa mdogo

nikitema unashiba (bwa mdogo)
bwana mdogo, bwa mdogo
kilimanjaro napanda mie (bwa mdogo)
bado bwana mdogo, bwa mdogo

mmmh yeah yeah yeah
_____
patoranking

kilimanjaro napanda miе (bwa mdogo)
bado bwana mdogo, bwa mdogo

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...