kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

acitee – tukumbukane كلمات اغاني

Loading...

unik_mbuke sana takuk_mbuka tuk_mbukane iwe k_mbuk_mbu tu unik_mbuke takuk_mbuka tuk_mbukane iwe k_mbuk_mbu tu

ninafuta jozi langu ni lini tutaona tena pumzi langu mwendo wa kasi ninapokuwazanga,, kizunguzungu pressure unanipa mie amani sina mawazo tu kwenye ndoto picha zako nakuwaza tu usinifutilie mbali mi bado nakupenda sana wasije kukulaghai wenye wivu kanitenga mie ila moyo na imani tutaonana tena….

unik_mbuke sana takuk_mbuka tuk_mbukane iwe k_mbuk_mbu tu unik_mbuke takuk_mbuka tuk_mbukaneee iwe k_mbuk_mbu tu

muda unayoyoma mie mwenzako nko hoi lini utarejea angalau nienjoy kama taswira nikuonapo moyo watulia kipenzi changu jeraha la moyo we ndo tiba w_ngu njoo nikudekeze usije kakosa chochote ama tuvuke border manukato vya bei usikose njoo njoo mgeni njoo mwenyeji nipone njoo njoo mgeni njoo mwenyeji nipone

unik_mbuke sana takuk_mbuka tuk_mbukane iwe k_mbuk_mbu tu unik_mbuke takuk_mbuka tuk_mbukaneee iwe k_mbuk_mbu tu

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...