abigail chams – nani? كلمات اغاني
nampenda mmoja sitaki mwingine
msiniwaze
namtaka mmoja simuhitaji mwingine
msiniwaze
aaaah
aaah nalia nalia naliaga
akininunia napagawaga
nalia nalia naliaga
akinisisua nachachawaga
hivi huku ndo wanaitaga kupendaga
siwezi kula bila huyu kijana
hivi haya haya ndo mapenzi
siwezi kulala bila haka kadada
nampenda nampenda msichana mmoja
mweupe kidogo
mweusi kidogo
nampenda nampenda (nani)
mweupe kidogo ( nani)
mweusi kidogo (nani)
hivi huku ndo wanaitaga kupendaga
siwezi kula bila huyu kijana
hivi haya haya ndo mapenzi
siwezi kulala bila haka kadada
ananikosha roho
ananirusha roho
ananikuna kuna
ananirusha roho
anavyopita ananukia kama malaika
huyo huyo shemu wenu
anavutia kama malaika
huyo huyo shemu wenu
hivi huku ndo wanaitaga kupendaga
siwezi kula bila huyu kijana
hivi haya haya ndo mapenzi
siwezi kulala bila huyu kijana
nampenda nampenda msichana mmoja
mweupe kidogo
mweusi kidogo
nampenda nampenda (nani)
mweupe kidogo ( nani)
mweusi kidogo (nani)
hivi huku ndo wanaitaga kupendaga
siwezi kula bila huyu kijana
hivi haya haya ndo mapenzi
siwezi kulala bila huyu kijana
كلمات أغنية عشوائية
- lorento › lorentø – expose ‘em كلمات اغاني
- stephen lind › stephen lind – daddy type كلمات اغاني
- llyell › llyell – marie mountains كلمات اغاني
- stebin ben › stebin ben – bhula du كلمات اغاني
- liljj2027 › liljj2027 – wake up كلمات اغاني
- in your grave › in your grave – circling the drain كلمات اغاني
- king gizzard the lizard wizard › king gizzard & the lizard wizard – venusian 2 (live in milan ’19) كلمات اغاني
- jill andrews › jill andrews – eye to eye كلمات اغاني
- coldunya › coldünya – dağların başı كلمات اغاني
- isaac staines › isaac staines – now you’re gone كلمات اغاني