kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ze bato16(batony a) – mama mkanye mwanao كلمات اغاني

Loading...

b swaxx president is a live my n-gg-
…………vers one……..
k-mi na mbili hasubuhi naamka nyeee
kwanza na mushukulu mungu aksante nyeee
kwanza namshukulu mungu aksante nyeee
mala napigiwa simu na mkali nyeee
anasema b uko wapi kuna dili mzee
nasema niko geto kuna dogo namuazibu
watanzania hatuna hela nataka nivunje kibubu
navuta pazia mala masela nawachora
mmoja kavimba jicho kama wamemtonkola
…..heeeeeeeeeeee…
uku ndio tunaishi sisi
ukisikia mkanye mwanao ujue wametimba mapolisi
maniga tuna saka kila siku
sme time narudi geto usiku mkali sina kitu
matozi wako busy na mademu zao
tukipita chocho wanaficha sura
si hatuna habari nao
tuna dili na maisha tuwe na pesa kibao

…………..chorus…………..
mama mkanye mwnao
mtaani kimenuka kuna stress kibao
(ukinipa tano jua ni fula nyeee)
(ukisema inakuaje ni mautamu nyeeee)

…………vers two……………
ugumu wa maisha tumezunukwa na mungiki
usiku wa kutisha nasikia sauti ya viberiti
si dili zetu buku buku wala hatuwazagi laki
tukipiga mchongo mtu tatu mmoja -n-lishwa shati
ndio maisha yetu kila siku kwenye kazi
wengine tuna tisheti kubwa kama majambazi
tunajifanya wakishua k-mbe tunatokea uswazi
nilifanya kazi nipe change basiiiiiiiiiiii
matozi ………..shifre
wahuni…………shifre
maniga…………shire
whats the defferent
tofauti labda chakula tunacho kula
tofauti baba bungeni hauzi sura
tofauti kaka akitaka tunakula
wahuni tu kwambali anatuchora…..anatuchora
alisema ze bato nikishinda nitakutoa
maisha unayo ishi naona kama yanakuboa

…………..chorus…………..
mama mkanye mwnao
mtaani kimenuka kuna stress kibao
(ukinipa tano jua ni fula nyeee)
(ukisema inakuaje ni mautamu nyeeee)

……………….vers three……………..
mama mkanye mwanao apunguze mawenge
si tuna stress kibao nipe lonto sarange
tumechoka na kesi za maunga na mabange
wahuni tukichoka tuna vunga tujipange
mtaani kuna stori zinaendelea
eti jamaa hatufai wakati wenyewe mlimchagua
mlipewa kofia na vitenge bure
wahuni tunawachora mnavoteseka kule
huyu akifoka kijijini
huyu anafoka mjini
wananchi tunashindwa sasa tumuelewe nani
ubabe wavyeo sasa uko wazi wazi
unapewa sifa leo kesho unaf-kuzwa kazi
sana mama kiongozi wala baba kiongozi
kwa pesa za baba zao mjini w-n-leta mapozi
madogo wakipewa mic wanaponda kaka zao
wamesahau si ndio machief tunaongea na baba zao

…………..chorus…………..
mama mkanye mwnao
mtaani kimenuka kuna stress kibao
(ukinipa tano jua ni fula nyeee)
(ukisema inakuaje ni mautamu nyeeee)

shukrani kwa d touchz d shabba
shukrani kwa patrino patrix matrix
shukrani kwa dvj yt pro
shukrani kwa mkurugenzi w-ngu poul mkude

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...