zuchu - yalaaaa كلمات الأغنية
Loading...
mmmmh kaniumbua umbua
anavyonidadavua
vitu flani vya kusisimua
chachambu anavyo ichambua
hunipa ning’ate ng’ate
mikato nikate kate
igande inate nate
itelezeshwe kwa matee
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
kanipania pania
na hajataka kuniachia
kanipania pania
na hajataka kuniachia
kama samaki hulumangia
huanza kichwa mpaka na mkia
naiomba serikali
kijana apelekwe mbali
ananifanya silali, siwazi, sitafakari
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
كلمات أغنية عشوائية
- jung dongha - stay with me كلمات الأغنية
- auður - alone كلمات الأغنية
- torrie - mental كلمات الأغنية
- my brother's keeper - all that i am كلمات الأغنية
- b.a.d.a. (the) - exile كلمات الأغنية
- isabelle aubret - un premier amour كلمات الأغنية
- juan karlos - sampaguita (feat. gloc-9) كلمات الأغنية
- inception - truth كلمات الأغنية
- santiago insane - sofía كلمات الأغنية
- demis roussos - action lady كلمات الأغنية