
zuchu - tinini كلمات أغنية
[intro : zuchu]
mhh mhh
mhh mhh
mhh mhh
[verse 1 : zuchu]
mapenzi safari
ya kwetu mi na we ndo kwanza yaendelea
tukose gari
msitu na nyika mi nawe tutatembea
kama bahari
ya kina kirefu badfo tutaogelea
tukose meli
mawimbi makali amini tutaelea
[pre chorus : zuchu]
baby like the stars, in the sky
like the shadow by your side
you be my husband i’ll you wife
nwokeoma
i swear i swear you are my pride
just look me right in to my eyes
in the fire you be my ice
[chorus : zuchu]
na baby you
you make my heart go tinini
you make my heart go tanananana
na because of you
mwenzako mwili w_ngu tinini
kamoyo kangu kote, tanananana
oh yeah
tinini, tanananana
tinini, tanananana
tinini, tanananana
tinini, tanananana
tanananana
tinini (my body goes)
tanananana (and my soul)
tinini (moyo w_ngu)
tanananana (mpaka roho)
tinini, tanananana
tanananana
[verse 2 : h_art the band]
mukhana nina roho moja
na ninafuta mmoja
nitakaye mmbembeleza tenderea siunajua
kwa hakika ni wewe tu
kwa moyo w_ngu nimechora tatoo
hata kama kwa dini ni tabo
wapee kisogo kwani ni nini watadoo ?
wacha waone gere mimi na wewe daily
kama vibes true basi wewe ndiyo very
kama gari vroum basi mimi ndiye dere
kwa wimbi la mapenzi naomba niwe wako ferry
[pre chorus : h_art the band]
like the stars, in the sky
like the shadow by your side
i’ll be your husband you’ll be my wife
my beibe beibe
i swear i swear you are my pride
just look me right in to my eyes
i’ll be the fire to your ice
[chorus : zuchu]
you make my heart go tinini
tanananana
tinini, tanananana
tinini, tanananana
tanananana
tinini (my body goes)
tanananana (and my soul)
tinini (moyo w_ngu)
tanananana (mpaka roho)
tinini, tanananana
tanananana
[outro : h_art the band]
ni siku ya tatu sasa tanapatana
na yeye kwa matatu
leo kwanza amedunga trao flani tight ya khaki
na top moja kalo iko na print ya chatu
najipata leo hatujaketi pamoja
ameketi toka kwa conductor nyuma karibu kiti ya tatu
mi biko opposite kwa kiti ya watu watatu
niko corner yaani mtu wa tatu
kawaida mimi huwa kimbelembele
yaani k_mapproach k_msalimia na k_mwambia vile roho yangu anafanya inaskia
lakini na huyuu, na huyu mi najipata speechless
ka mgonjjwa ameamka asubuhi akajipata amepona upele
najiambia leo ni leo
leo lazima nikusalimie nikwambie vile wewe ni mrembo
na tangu nikuone day one sijakuwa nikkala tena saa tatu
kejani ni malate night tu
masoap nikijiskizia marnb na mablues pia
plus malove song flani funny_funny sijawai dhani watu huskia, yaani
كلمات أغنية عشوائية
- gers pardoel - alleen كلمات أغنية
- fiori-séguin - viens danser كلمات أغنية
- dic3 - pool كلمات أغنية
- operación triunfo 2017 - el mismo sol كلمات أغنية
- xtlxs - instructions كلمات أغنية
- liz phair - i'll get you high كلمات أغنية
- to the rats and wolves - schoolyard warfare كلمات أغنية
- thunder - future train (2nd version) كلمات أغنية
- muze sikk - predator كلمات أغنية
- gerald levert - dj don't كلمات أغنية