kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zuchu - shangilia كلمات الأغنية

Loading...

ayolizer
kibe, kibe (kibee)
kibe ni mshindi mwingine (kibee)

kibe kutoka ccm chama
sio chama kingine (kibee)

kibee kibee (hee! kibee)
ameshinda mwingine
kutoka chama kubwa chama
sio chama kingine

oooh! wazanzibar (shangilia shangilia)
hussein mwinyi (rais kashachangulia)
kwa hii hali yetu
aendeleze ilani ya chama

zanzibar yetu
ye kaja kuinyanyua
hussein mwinyi
mikono salama

ye ataendeleza mazuri yake sheni
utawala bora
utawala bora uchumi na amani

kwa bashasha
natamka hussein mwinyi rais w_ngu
sijalazimishwa, sijashurutishwa
nimemchagua kwa kura yangu

oooh! wazanzibar
(shangilia shangilia)
hussein mwinyi
(rais kashachangulia)

mchapa kazi mzalendo
mlinzi wa muungano wetu
wanamapinduzi yetu
hongera rais wetu

rais nani? rais nani?
ni hussein mwinyi
hatoki ikulu
mpaka miaka k_mi

eeeh! zanzinbar daima mbele
kwa bashasha (kwa furaha)
natamka (natamka mimi)

hussein mwinyi rais w_ngu
eeh! hongera rais w_ngu
sijalazimishwa, sijashurutishwa
nimemchagua kwa kura yangu

oooh! wazanzibar
(shangilia shangilia)
hussein mwinyi
(rais kashachangulia)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...