
zuchu - nimechoka كلمات أغنية
[intro]
lalalalala lalala lalala
ooh ooh ooh
mr lg
[verse 1]
umenjengea k_mbuk_mbu
mbaya kwenye penzi lako
siwezi rudi hata unishikie bakora
nanena kwa machungu umentendea vibaya
mi, mwana mwenzako
kwa makusudi furaha umenipora
aah, asante umenifunza
nionapo njia mbili nichague ya kuvuli
mimi, mi sio wa kwanza kuumizwaa
wanatendwa matajiri, sembuse mi wa sifuri
[pre_chorus]
aah, na nakujua kwa k_msingizia shetwani
huyo ni wewe, ni wewe, ni weewe
ukinik_mbuka usijipigishe yutaniii
uniache mwenyewe
mwenyewe, mwenyewe niache
[chorus]
nimechoka, nimechoka
nimechoka, baasi
nimechoka, nimechoka
nimechoka, baasi
[verse 2]
eh,hasira
hasira ndo maradhi yangu
hasira, nimepoteza muda w_ngu
jamani hasiiira, hasira ndo ugonjwa w_ngu
hasira, nimepoteza lengo langu
sitamani sitamani makosa niyarudie
isiwe desturi yangu kuuchuza moyo uumie
bora nirudi nyumbani pemba wanitambikie
nifungwe akili yangu, mawazoni nikutoe
[pre_chorus]
ooh maana nakujua kwa k_msingizia shetwani
huyo ni wewe, ni wewe, ni weewe
ukinik_mbuka usijipigishe yutaniii
uniache mwenyewe
mwenyewe, mwenyewe niache
[chorus]
nimechoka (nimechoka), nimechoka (nimechoka)
nimechoka, basii (we shika zako nami nishike zangu)
nimechoka (nimechoka), nimechoka (nimechoka)
nimechoka, basii
كلمات أغنية عشوائية
- zach holbrook - let me show you the land كلمات أغنية
- emicouto - disscarga كلمات أغنية
- j. mcedwins - ebony maybe pt.2 كلمات أغنية
- shinhwa - give it 2 me كلمات أغنية
- gigante no mic - o que é a vida? كلمات أغنية
- dj deathblade - to burn a bridge كلمات أغنية
- julien doré - porc grillé كلمات أغنية
- demonshire - in memory of dareq كلمات أغنية
- luccas carlos - pra você escutar كلمات أغنية
- claudia leitte - pássaros (remix) كلمات أغنية