
zuchu - mwambieni كلمات أغنية
[verse 1]
mhhh mh mh
mhhh mh mhhh
mhh mh mh
mhh
eeeeeh kaja omba nirudia
kazirejesha salam
zamani kak_mbukiaa
ameumisi utamu
kaacha kopa kalamba garasa, kaishiwa masikini
mpeni taarifa za beti mkwasa mi simk_mbuki sini
[bridge]
heee mwambieni mwambieni
mali yake ishaliwa
ahaa apunguze kampeni
jimbo lishachukuliwa
hehee! mwambieni mwambieni
mali yake ishaliwa
aha apunguze kampeni
jimbo lishachukuliwa
[chorus]
weeh! kabaki mbe (mbe arijojo mbembe)
hatarii mbe arijojo mbe
kaambulia patupuu (mbe arijojo mbembe)
yuko chalichali mbe arijojo mbe
mbe mbe mbe
[verse 2]
alidhani ameniadhiri
alidhani amenikomoa
mungu akanipa msitiri
alonipoza nikapoa
aah! penzi kalijaza ndindindi
kanimwagia mwemweremwemwere
pole ya kwako kidingi
wa kudandia ngenderengedere
simu za usiku wa saa sita (aka staki)
kuni dm insta (aka staki)
kutwa kujikomentisha (aka staki)
kujitumisha vipicha (aka staki)
[bridge]
hee mwambieni mwambieni
mali yake ishaliwa
aha apunguze kampeni
jimbo lishachukuliwa
hehee mwambieni mwambieni
mali yake ishaliwa
aha apunguze kampeni
jimbo lishachukuliwa
[chorus]
weeh! kabaki mbe
mbe arijojo mbembe hatarii
mbe arijojo mbe
kaambulia patupuu (mbe arijojo mbembe)
yuko chalichali mbe arijojo mbe
hee kabaki mbeee (mbe arijojo mbembe)
si wa mbele wala nyuma (mbe arijojo mbe)
si wa kuvutwa suk_ma (mbe arijojo mbembe)
inakuuma eeeeh (mbe arijojo mbe)
[outro]
twende kirinkikiti_kirinkikiti_kirinkikiti
kikiti kikiti
kirinkikiti_kirinkikiti_kirinkikiti
kikiti_kikiti
twende bah
skoroba bah yani bah
yani bah skoroba bah
yani bah aweeh
hahaaaaa
(kamixlizer)
كلمات أغنية عشوائية
- never shout never - everything is cool كلمات أغنية
- lil shizz - we lit كلمات أغنية
- king gizmo - fire skillz كلمات أغنية
- salvador - make some noise كلمات أغنية
- awmtea polymer - kan dil bik lo كلمات أغنية
- kleen666 - rockstaar كلمات أغنية
- arufe - nimbo كلمات أغنية
- ebola virus - what they praise كلمات أغنية
- pachakuti - zero point كلمات أغنية
- tiffany villareal - rewind the time كلمات أغنية