zuchu - mauzauza كلمات الأغنية
shunuaa usijipe mapana
eti mwili kujitutumusha
nitakutawanya ka bahari na fimbo ya musa
umejigeuza sudi
sio wa corora wala vogi
na hilo wowowo la kufoji
eti linakupa kodii
ohh leo unikome mwenye kiranga
(mwenye kiranga)
hujanijua vizuri
hili timbwili la vanga
(mwenye kiranga)
ooh leo mbona umeyabananga
(mwenye kiranga)
mi maskini jeuri
sitegemei madanga
(mwenye kiranga)
mauzauza we mwana mauzauza
si wamekushindwa kwenu
walimwengu tutakufunza
mauzauza we mwana mauzauza
si wamekushidwa kwenu
walimwengu tutakufunza
mwali kigego mwenye nyota ya mitaala
hivi kungwi wako nani wewe?
(atajijuaaa)
uso mitego imedoda biashara
hueleweki si kunguru si mwewe
wadala ubaki dala
mwenzio mimi kibunda
haufai kwa kafara
si mbuzi wewe ni punda
umejivisha ubazazi
kwa mapana na marefu
uso na kazi
si wa ndala wala peku
ooh ooh
ondo ondo mlezi wa wana
we budege zoa zoa
mwali pengo binti mwanya
chuchunge kwa kudonyoa
ooh leo unikome mwenye kiranga
(mwenye kiranga)
hujanijua vizuri hili timbwili la vanga
(mwenye kiranga)
ohh leo mbona umeyabananga
(mwenye kiranga)
me maskini jeuri, sitegemei madanga
(mwenye kiranga)
mauzauza we mwana mauzauza
si wamekushindwa kwenu
walimwengu tutakufunza
mauzauza we mwana mauzauza
si wamekushidwa kwenu
walimwengu tutakufunza
hutayaweza yangu yako yanakushinda
hutayaweza yangu yako yanakushinda
hutayaweza yangu yako yanakushinda
hutayaweza yangu yako yanakushinda
hutayaweza yangu yako yanakushinda
hutayaweza yangu yako yanakushinda
كلمات أغنية عشوائية
- sylent thxg - im dxne with yxu hxe (feat. dorxx) كلمات الأغنية
- diet lemon - think you are كلمات الأغنية
- jpbandzz - changed up كلمات الأغنية
- mousv - موسى - lama amoot ento hatndamo كلمات الأغنية
- longus mongus & dauner - mona lisa كلمات الأغنية
- prince ace gaming - rapboy كلمات الأغنية
- tamzene - best of me كلمات الأغنية
- cry1968 - до луны не так далеко (the moon is not that far) كلمات الأغنية
- svasoma - what a shame (shane) كلمات الأغنية
- hole - best sunday dress (early version) كلمات الأغنية