
zuchu - kwaru lyrics
iyoo lizer
aaah ah aaaaaah
[verse 1]
ah
roho ingekua na macho ungejionea
moyo haufanyi kificho ukigotea
mimi kipi nisonacho ungeongea
mwili w_ngu rochorocho nanyong’onyea
chungu nilichopika
wamepakua wenzangu
huruma napukutishwa
wamechukua tonge langu
na kitabu chetu cha mapenzi
kurasa umeichanachana
hazisomeki tena tenzi
zimepoteza maana
[bridge]
mpofu moyo w_ngu
ulishindwa ona
hukuandikwa wakw_ngu
limenikaba nalitema
[chorus]
kwaru kwakwaru kwaru
kachukua kisoda ana ukw_ngua
kwaru kwakwaru kwaru
moyo w_ngu unaumia
kwaru kwakwaru kwaru
ah! ye kwa nguvu ana ukwarua
kwaru kwakwaru kwaru
jamani moyo w_ngu
unaumia
[verse2]
eh
langu tatizo
nachunda najimaliza
mi nakesha k_muwaza
naweweseka lake jina (ooh jina)
oh! basi kwa unyonge
najikaza niache kulia
mana kwake bahati sina (ooh sina)
maumivu ameipora furaha yangu
ooh amekwenda nayo
na zangu mbivu zimeniozea
mmh hasara kw_ngu
oooh oh! yatajwisha nayoo
[bridge]
mpofu moyo w_ngu
ulishindwa ona
hukuandikwa wakw_ngu
limenikaba nalitema
[chorus]
kwaru kwakwaru kwaru
kachukua kisoda ana ukw_ngua
kwaru kwakwaru kwaru
moyo w_ngu unaumia
kwaru kwakwaru kwaru
ah! ye kwa nguvu ana ukwarua
kwaru kwakwaru kwaru
jamani moyo w_ngu
unaumia
Random Lyrics
- auedabrs - i only want a break lyrics
- styxvii - remember when i was 14 that was so cringe lol lyrics
- lion herris & nicky stefan - dinamita lyrics
- kid faze - september lyrics
- jvstblake - eddievedder lyrics
- monte moir - silence of my heart lyrics
- 454 - west side story lyrics
- mola (fra) - sonorité lyrics
- kt.lake - uu-away lyrics
- latino - thaís lyrics