zuchu - inama كلمات أغنية
[intro]
gogu
maga
ni zuchu chu chu chu
[verse 1 : zuchu]
waiteni wambea
wa kusini na mashariki
waje kuona
bado niko na wee
waliongea
eti mbali si hatufiki
ikiwachoma
wakamaze mawe
kwako chongo (chongo)
mi naonna kengeza
yaani uhondo
unavyonikoleza
wanatapika nyongo
penzi hawa jaliweza
nakusifu kibongo
nakusifu kingereza
[pre chorus : zuchu]
muchuchu muchuchu
sweet sweet banana
punga mkono juu
nakuomba baby simama
leo yako sikukuuu
nikupakuie minyama
upite na huku
wasokupenda uwakere sana
[chorus : zuchu]
uniijie kwa mbwembwe
unainama, waonyeshe
unainuka (mama)
unaigusa
afu kama unashuka
niongezee na njonjo
unaninama ah madegezyee
unainuka (ai we we we)
unaigusa (agha)
afu kama unashuka
[verse 2 : diamond platnumz]
oh baby a e i
malizia u
eh mwenzio kwa we mi, boya tu
i know you love me
i love you too
nsipo kuona ta te ti
presha juu
nimegundua, kwanini wananuna
ma ex zako, nakunichukia
maana unajua, wapi pa kukuna
kwa kazi yako, unaipatia
[pre chorus : diamond platnumz]
muchuchu muchuchu
sweet sweet banana
punga mkono juu
nakuomba baby simama
leo yako sikukuuu
nikupakuie minyama
ebu njoo kwa huku
ringa jishauе bana
[chorus : zuchu]
tena ntilie mimbwembwе
unainama eh nikomeshe
unainuka (mama)
unaigusa
afu kama unashuka
niongezee na njonjo
unaninama ah madegezyee
unainuka (ai we we we)
unaigusa (agha)
afu kama unashuka
كلمات أغنية عشوائية
- 배치기 (baechigi) - 바람에 날려 (fly with the wind) كلمات أغنية
- $imonp@ulz@ch - 4sinx + 3 = 0 كلمات أغنية
- diviners - tropic love كلمات أغنية
- cassie marin - light كلمات أغنية
- young roddy - chess moves كلمات أغنية
- hyperactive - i love who you pretended to be كلمات أغنية
- gabeous - all caps (madvillian remix) كلمات أغنية
- mondo marcio - babilonia brucia كلمات أغنية
- kaydy cain - biga daddy kane كلمات أغنية
- ignacio del pórtico - antes de hablar كلمات أغنية