kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zuchu - hujanizidi كلمات أغنية

Loading...

[intro : zuchu]
haya haya
haya haya
oh oh
haya haya
haya haya

[zuchu]
yani mara k_ma ungekua mbaya
halafu ungekua na hela
lakini tatizo lako mbaya
halafu hauna hela
ni mara k_mi ungekua kijusu
halafu ungekua na hela
ila attizzo lako kijuso halafu hauna hela

[zuchu]
ah, sa mbona unapata tabu kujichubua
tako huna unafosi kujibinua
baby w_ngu hajadata na chura ka hujajua
kadata na mambo matamu nayomgea
nkwambie wewe
kwa uzuri hujanzidi mimii
kwa utamu hujanzidi shoga yangu
kwa uzuri hujanzidi mimii
kwa utamu hujanzidi shoga yangu
[d voice]
na huyo baby wako alikuwa wa kw_ngu
kabla ya kuwa wa kwako
hauniambi kitu kuhusu yeye
hata kulala alilala kw_ngu
kabla ya kulala kwako
kwahiyo unitishi mbwa wewe
oya weeh, hakuna udichonizidi cha kunipa stress
we nyota yako ya kuni mie mwenzako ya gesi
mwenzako uzuri wako natural sio wako wa kufeki
mwana mwenzangu una rangi nyingi ka combatí ya jeshi

[d voice]
sa mbona unapata tabu kujichubua
tako huna unafosi kujibinua
baby w_ngu hajadata na chura ka hujajua
kadata na mambo matamu nayomgea
nkwambie wewe
kwa uzuri hujanzidi mimii
kwa utamu hujanzidi shoga yangu

[zuchu]
ooh kwa uzuri hujanzidi mimii
ai udugu we kwa utamu
hujanzidi shoga yangu
haunitishi hunisumbui, hujanzidi mimi
jiangalie kuvaa hujui, hujanzidi shoga yangu
[zuchu]
aii, hapo kwanza ncheke
wanangu baado sijasikia shangwe
kama umeme umerudi (wooo)
masela baado sijaskia shangwe
kama umeme umerudi (woo)
aii mara tеna umekataa (aah)
mama, mara tena umerudi (wuoo)
wеwe mara tena umekataa (aah)
twende show me gidi gidi gidi
baby gidi gidi gidi
twende gidi_gidi, gidi, gidi wee
gidi_gidi, gidi
kwanza muone ampandwa na ibilisi
alikaa pembeni hivi sasa ameingia kati
ona mwili mkubwa k_mbe kibonge mwepesi
kulia kushoto, dunda kama kitenesi
twende sasa
gidi, gidi, gidi
gidi_gidi, gidi
twende gidi_gidi, gidi, gidhi wee
gidi_gidi, gidi
aii, hapo kwanza ncheke

[d voice]
oya we
we hili goma noma kwani amelipiga nani
mana wanafanya wanangu kama wamepandwa shetani
we hili goma noma kwani amelipiga nani
maana wanavua mashati kwenye miti wanachuma majani
oya wanachuma majani
w_n_leta majani
mama wanachuma majani
w_n_letya majani oyaa
[outro : d voice]
diblo nipenipe
nipe tena
diblo nipenipe
nipe tena

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...