
zuchu - cherie كلمات أغنية
[verse 1: lava lava]
mwenzako najiuliza
hivi umeumbwa muda gani
uzuri wako umeupata turkey
au kwa mama nyumbani
nataka nikupe visa cv
uwe w_ngu rubani
mana kwako sifurukuti
sina ujanja yani (ah ah)
silali nikasinzia kutwa uko kichwani darling
moyo ungekuwa nguo ningekupa uvae
ama mungu angenijalia ningekuwa tajiri madolali
basi ningekupa rupia maishani ikufae
kutwa nikijipitisha kwa mitandao kukufungua
yani unawakomesh_ga
insta tiktok unawasumbua
siishi kujicomentisha
haki ya mungi unanizuzua
vifilta unavyo jiwekaga kujiedit na vimauwa
[pre chorus : lava lava]
navyokupenda eh mwenyewe najishanga
(navyokupenda eh mwenyewe najishanga)
ah! navyokupenda, mwenzako najishanga
(navyokupenda eh mwenyewe najishanga)
[chorus : lava lava & zuchu]
sijui nikwite nani
cheri ama baby
nikwite nani
cherie (laazizi) ama baby
nyonda wa ubani
cheri ama baby
eti nikuite nani
cheri ama baby (nani nikuitе)
[bridge : zuchu]
eh hehehe
chеrie na ngai eh
sikia hi
[verse 2 : zuchu]
sina baby sona
nionge kwa kilugha gani unielewe (ashraf minyama)
mwenzako nikikuona
moyo unacheza buga unacheza msewe (natikisika)
ai, umenipa penzi mvinyo
nami, nimelewa tikitiki
aii, ukinishika chamwino
ai, kelele mpaka kibiti ai wewe
majii jamani maji (yanaufata mkondo)
speed yake ya boda sio ya kibajaji (na atumi mkongo)
ai, majii jamani maji (yanaufata mkondo)
mwendo wake wa boda sio ya kibajaji (na atumi mkongo)
[pre chorus : zuchu]
navyokupenda eh mwenyewe najishanga
(navyokupenda eh mwenyewe najishanga)
ah! navyokupenda, wallah najishanga
(navyokupenda eh mwenyewe najishanga)
[chorus : zuchu]
ee! asa nikwite nani
cheri ama baby
nyonga mkalia lni
cherie ama baby
cherie na ngai eh
cheri ama baby
my sweet sweet chocolate
cheri ama baby
[outro : lava lava]
asa baby ringa ringa ringae
ringa baby, ringa ringae
ringa baby, ringa ringae
na mgongo pindae katika wakuone
ringa ringae
ringa baby, ringa ringae
ringa baby, ringa ringae
na mgongo pindae katika wakuone
كلمات أغنية عشوائية
- money boy - in the city كلمات أغنية
- d$ luqi - o circo das panelas كلمات أغنية
- cheryl - sexy den a mutha (explicit) كلمات أغنية
- patient zero (uk) - halloween كلمات أغنية
- nikan & palazzo - holidays كلمات أغنية
- lxowerr - mary poppins كلمات أغنية
- jo squillo - whole lotta love كلمات أغنية
- radio free alice - johnny كلمات أغنية
- fiisk - telo. كلمات أغنية
- tom zé - metro guide new york كلمات أغنية