kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ziggy 6iks - war كلمات أغنية

Loading...

angry
angry
yo take a cup of coffee me silali bana niko booth
washa moja mbili ya tatu nikaa yu nipea idea
never shake hands kaa ni truce we mkate hands
ivo ndio unamake sure kaa ni opp ako unarmed
sorry kaa ni unyama manze sometimes me hukua terrible
mbogi kaa imechoka tunachoma on your corridor
b_tch wako ni mnono siezi mhandle hiyo ni impossible
ona place nmetoka sasa cheki mahali me nagoo
nini kaa si dhoo? si ni dhoo ndio inafanya me

war hatunanga mercy tunatembeanga na bomb
si ukuanga kimoja wezi ata vunja the bond
tumetulia sana ukichoza sini
war hatunanga mercy tunatembeanga na bomb
si ukuanga kimoja wezi ata vunja the bond
tumetulia sana ukichoza sini

washow kaa ni loss kaa ni profit waambie half of of it
washow ukiwa na pain na ukigain we waambie unaheal
never tell a n_gga abc na aujafika d never give a hater hiyo chance chunga unaeza fall
ziggy niko grao nanaball shida dem ako na ball
kama we ukuweza haimanishi that i can’t
nimekuwa bold nimeishi na the men
wausemanga two wrongs can’t make a right
nilikosea mara mbili ndio nikue right
wakiona the face wanarun juu ni
war hatunanga mercy tunatembeanga na bomb
si ukuanga kimoja wezi ata vunja the bond
tumetulia sana ukichoza sini
war hatunanga mercy tunatembeanga na bomb
si ukuanga kimoja wezi ata vunja the bond
tumetulia sana ukichoza sini

war war woaa woa woaa
kama ni bunda big big thick me sijali face
kama ni ganji big big big big big big cash
mondays ye ukua moody so umbongeshanga b00bs day
chunga where you dump your trash kwa wengine uw_nga food
kwani who said money first before money money first
phone w_nga ni bae kila place me nacarry bae
marrie pia ni bae big bae kwanza akinichock
nikaa kila day me na bros u can never know

war hatunanga mercy tunatembeanga na bomb
si ukuanga kimoja wezi ata vunja the bond
tumetulia sana ukichoza sini
war hatunanga mercy tunatembeanga na bomb
si ukuanga kimoja wezi ata vunja the bond
tumetulia sana ukichoza sini

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...