kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zanzibar taarab - moyo hausemezeki كلمات الأغنية

Loading...

moyo hausemezeki
kwa kitu ukipendacho
moyo hausemezeki
kwa kitu ukipendacho
j_po kiwe na hilakii
kisichoridhisha macho
j_po kiwe na hilakii
kisichoridhisha macho

moyo utakishiriki ndilo kisichokuwa ndicho
moyo utakishiriki ndilo kisichokuwa ndicho

moyo hausemezeki
kwa kitu ukipendacho
kwa kitu ukipendacho

nimesema nawo sana nikaupa mahusio
nimesema nawo sana nikaupa mahusio
usiendekeze sana na mengi matamanio
usiendekeze sana na mengi matamanio
ujuwe neno hapana usikazanie ndio
ujuwe neno hapana usikazanie ndio

moyo hausemezeki
kwa kitu ukipendacho
kwa kitu ukipendacho
nitauwambia nini moyo unisikilize
nitauwambia nini moyo unisikilize
uwingiwe na imani machozi yasinilizie
uwingiwe na imani machozi yasinilize
wenye rai nambieni wazo lenu nisikize
wenye rai nambieni wazo lenu nisikize

moyo hausemezeki
kwa kitu ukipendacho
kwa kitu ukipendacho

nimesema nawo sana nikaupa mahusio
nimesema nawo sana nikaupa mahusio
usiendekeze sana na mengi matamanio
usiendekeze sana na mengi matamanio
ujuwe neno hapana usikazanie ndio
ujuwe neno hapana usikazanie ndio

moyo hausemezeki
kwa kitu ukipendacho
kwa kitu ukipendacho
kwa kitu ukipendacho
kwa kitu ukipendacho

moyo ni kitu chepesi rahisi kuridhika
haupendi ni uhasi mara moja hukasirika
hadi upate nafasi hapo utafurahihika

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...