kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zanton - kisiwa cha malovedavi كلمات الأغنية

Loading...

kwakweli nilikuwa napenda sana
mechi za nje za ujana
aliyekuwa mke w_ngu
_n_lia, ah_ah
kwakweli nilikuwa napenda sana vibinti
nakuwahonga mpaka magari
waliyekuwa watoto w_ngu
wanateseka na njaa
mitungi ni kila saa
nyumbani sina time ya kukaa
marafiki nami
night club na mimi oh
sasa nimebaki lonely
track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby haunitaki tena
sasa nimebaki lonely
track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby haunitaki tena
nakupenda, ah_ya
nakupenda sana, baby
nakuihitaji mama_mama
njoo kisiwa cha malovedavi
nilikutenda, ah_ya
nisamehe my baby
nakuihitaji mama_mama
njoo kisiwa cha malovedavi
silewi tena niskize ma_ah
kwani najua pombe ndo chanzo ah
kilichofanya nikutende
dharau kibao ndani ya nyumba hakuna raha
na kw_ngu ulikuwa dhaifu niskize ma_ah
kwani najua kweli ulinipenda ah
watoto w_ngu nliwatenga nisamehe mpenzi, we unasema
sitaki rudia tena
najuta kwa yote nliyofanya
nisamehe na goti napiga, nalia ah_ah_ah
sasa nimebaki lonely
track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby haunitaki tena
sasa nimebaki lonely
track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby haunitaki tena
nakupenda, ah_ya
nakupenda sana, baby
nakuihitaji mama_mama
njoo kisiwa cha malovedavi
nilikutenda, ah_ya
nisamehe my baby
nakuihitaji mama_mama
njoo kisiwa cha malovedavi
uje kwenye kisiwa cha malovedavi
uje tupeane mapenzi
usisahau na wanangu
sahau yaliyopita
na tugange yajayo

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...