zanto - mpenzi jini كلمات الأغنية
siku moja nimelala nikaota kwamba demu ananiita
uzuri wake mfano hakuna
akasema kwamba ananipenda sana, alafu akanachia namba
kiganjani mw_ngu alafu akapotea
hakusema kwamba anaitwa nani! hakusema kwamba anatokea wapi!
alichosema yeye eh, siku moja tutaonana
hii kwa ndoto ikakata, nikashtuka, mara simu yangu ikaita
nikapokea nikasika kiss halafu akasema, “z sikiliza
ujue nakupenda sana, ujue siwezi kukutenda ah
ila naomba utambue mimi ni jini” hapo akakata simu
anasema ananipenda (ananipenda ah)
anasema hatonitenda (hatonitenda)
anasema ananipenda
jini, jini ananipenda sana mimi
anasema ananipenda (ananipenda ah)
anasema hawezinitenda (hatonitenda)
anasema ananipenda
jini, jini ananipenda sana, ah_ah
anasema ananipenda, baе_baby
anasema hatonitenda, bae_baby
anasеma ananipenda, bae_baby, ay
anasema hatonitenda, ye_e_eh
mpaka pete kashanivalisha, ah
aliniya_amini, yeye kw_ngu amefika
mpaka pete, eh, kashanivalisha, ah
aliniya_mini, mm, yeye kw_ngu amefika, ah
asa kila saa ananifata
anahitaji jibu mi’ k_mpa
ukweli kwamba ni mzuri
ila k_mjibu, moyo unasita
anasema ananipenda (ananipenda ah)
anasema hatonitenda (hatonitenda)
anasema ananipenda
jini, jini ananipenda sana mimi
anasema ananipenda (ananipenda ah)
anasema hawezinitenda (hatonitenda)
anasema ananipenda
jini, jini ananipenda sana, ah_ah
wapo wa baharini na wapo wa ardhini
ili mradi tupo nao twasafiri safarini
siwezi k_mtenga huyu jini anayenipenda
kwani nae ni kiumbe j_pokuwa anakeka
ana haki ya kupenda kama unavyopenda wewe
wanasema haujatulia, no sitaki nipepewe
kama pete ni’shavishwa nasubiri nyungu safi
’til one tu kuvusha
mommy nishasikia nikaona bora usingekuwepo
kabla haujaingia geto unavuma upepo
then anani_kiss kwenye shavu mara tatu
pia akitembea huwa hapendi wamuone watu
mara nyingi anavaa vitu vya kung’aa
appointment zetu hapendi tukutane bar
kila saa ananukia huyu jini malkia
siku mbili namsifia ’til malishi (najifia)
anasema ananipenda (ananipenda ah)
anasema hatonitenda (hatonitenda)
anasema ananipenda
jini, jini ananipenda sana mimi
anasema ananipenda (ananipenda ah)
anasema hawezinitenda (hatonitenda)
anasema ananipenda
jini, jini ananipenda sana, ah_ah
كلمات أغنية عشوائية
- forsake, sylvver & koa - bring back the magic كلمات الأغنية
- mit mj rips - growing up a stan كلمات الأغنية
- cobras & saints - nevermore كلمات الأغنية
- pionque - идиллия كلمات الأغنية
- saint (rus) - бац كلمات الأغنية
- bobbie gentry - feelin' good (demo) كلمات الأغنية
- tjb24 - next up كلمات الأغنية
- phony - caroline كلمات الأغنية
- eloi (fr) - jtm de ouf كلمات الأغنية
- montell fish - depressed freestyle كلمات الأغنية