
zablon k. ndale - mimi ni mzabibu (baba ni mkulima) كلمات أغنية
Loading...
[s] mimi mzabibu wa kweli, mimi mzabibu wa kweli
nanyi m matawi yangu, baba yangu ni mkulima
mwenye kutunza shamba lake } _2
[s] tawi lile lisilozaa
baba yangu huliondoa, na kuliteketeza moto
[s] tawi lile linalozaa
baba yangu hulisafisha, lidumu katika kuzaa
hayo _ hayo ni maneno ya bwana yesu }_2
nyinyi mmekwisha, kuwa wasafi
kwa sababu ya neno, nililowaambia
kaeni nami, ndani yangu
na mimi na mimi na mimi ndani yenu
akaaye ndani yangu, huyo atazaa
kwani nje yangu, hataweza kuzaa
kama vile nje ya mzabibu
tawi halitaweza kamwe kuzaa
maneno yangu yakikaa ndani mwenu
ombeni lolote mtatendewa
naye baba yangu atatukuzwa
na nyinyi mtakuwa wanafunzi w_ngu
كلمات أغنية عشوائية
- darknet - fear2fail كلمات أغنية
- one be lo - double essay/s.s.a. (remix) كلمات أغنية
- juan luis guerra - de moca a paris كلمات أغنية
- die young - white oleander كلمات أغنية
- kardinal offishall - dangerous (remix part two) كلمات أغنية
- kbod - so blind كلمات أغنية
- colton graham - ia's side كلمات أغنية
- mellowhigh - larry fisherman كلمات أغنية
- merrick stein - ova 'n out كلمات أغنية
- rumpelstiltskin grinder - get out of my grave/gigantic graveyard كلمات أغنية