yvan paul - life is a battle كلمات الأغنية
lyrics
intro
yvan paul:
fine boy 766
daline saul:
life, it ain’t easy
it ain’t easy
it’s a fight
bonde music production hit
verse 1
yvan paul:
mimi ni kijana
mwenye usalama
popote mlipo ndugu jamaa nawaombeya usalama
mi nalia moyo w_ngu unaumia
nina familia
sina ata ca kualisha
ntawezaje kutatuwa aya maisha
sione ata pica yenye mabadiliko
usiku sinaga ndoto
moyo unawaka moto
kila napokwenda naona pagumu
watoto w_ngu watarisi nini
nakonda na shida zangu mtaftaji mimi
kwanini hakuna wa kuamini
endapo watu ni wengi duniani
hiyi kama lana tunabaguana
kwa upumbavu na visa
ndivyo vyasababisha
wana wa adamu k_muaga damu
siku gani tutapokaa
sehemu moja face to face
tuziesabu siku njema
chorus
daline saul:
life you can get runaway
life you can get runaway
that is life
it doesn’t matter where you run
it doesn’t matter where you hide
everywherе you go it’s a battle
verse 2
yvan paul:
hakuna tеgemeo zaidi yako
baba muamba wa dunia
ila wapo, wanadhani hii dunia ni yao
hakuna love moyoni mwao
ndani mwao k_meja cuki
tunavyosota na matatizo
ndio furaha yao
jasho letu mcana usiku
vikao vyao
tabia zao kama ngozi
ni vigumu kuzibadili
wanasababisha maisha kuwa magumu
kaka zetu kwa ukosevu wa makazi baadhi yao wameshika njia za ujambazi istoshe dada zetu wanajiuza
eti waweze kuiona kesho
haki yetu inazurumiwa
kutuweka gerezani bila sababu wameifanya biashara bila hesabu
siku gani tutapokaa
sehemu moja face to face
tuziesabu siku njema
chorus
daline saul:
life you can get runaway
life you can get runaway
that is life
it doesn’t matter where you run
it doesn’t matter where you hide
every where you go it’s a battle
outro
daline saul:
uhh, yeah, yeah
oh, oh
i have to be strong
oh, oooh
it’s a battle
we have to fight
we need to be strong
oh, oh, oooh
كلمات أغنية عشوائية
- lost witness - did i dream كلمات الأغنية
- longcut - dead man كلمات الأغنية
- lowest of the low - bleed a little while tonight كلمات الأغنية
- llynch - athena كلمات الأغنية
- lustral - broken كلمات الأغنية
- lost witness - song to the siren (did i dream) كلمات الأغنية
- lo fi fnk - what's on your mind كلمات الأغنية
- llynch - morla كلمات الأغنية
- lustral - many years from now كلمات الأغنية
- lost witness - home كلمات الأغنية