youngkingtz - nimependwa كلمات أغنية
“young king is coming”
just kid on the truck
“nimeona ma ex w_ngu watakoma, kwaku niongelea, kukaa vikao sanaa haaah, kuta hivi nimependeka tenaa. tenaa nimependa tena nimependa, hakika nimempenda hakuna mwenginee kwenye moyo w_ngu, ni yeye ni yeye ninampenda nayeye ananipendaa wale wote wakutusema wata koma
nimependwa aii
u single bye bye
nimependwa aii aii aiii
nimependwa aii
u single bye byе
nimependwa aii
u single u singlе
u single bye bye
nisha pendwa nisha pendwa
ex ufai, fai, i wish no, sirudiwi sirudiwiii..
babe mimi batini ningongewe nani ila topepo ukija nisionekani
ukitaka kuni k!ll usione usoni, nakama pesa we chuna babe (usijalii) jalii..mana penzi lako tamu zaidi ya asali. mimi sikuachi ata waje kwa foleni
heti hunifai heti hunifai l don’t care. mana
sukari kwa chai sukari kwa chai unakolea, my woman waman womanukiniacha utaniuwaa… na ngoma inogi sio ukipita mda sijakuona aaaahhhhhh
nimependwa aii
u single bye byee
nimependwa aii aii aii
nimependwa aii
u single bye bye
nimependwa aii
u single u single
nimetokea kukupenda sanaa, nitakua na wewe siku zote zamaisha
“ukitata kuni k!ll usione usoni, nakama pesa we tuma babe usijali.”
كلمات أغنية عشوائية
- tyler, the creator - tamale (live) كلمات أغنية
- kazel - hex كلمات أغنية
- blgbang - oh, ah, oh كلمات أغنية
- brian chatton - rock on كلمات أغنية
- hellz yea! & dj mousetrap - can't change it all كلمات أغنية
- namebuddha x time - wars within wars كلمات أغنية
- o picapau amarelo (sbt) - quindim كلمات أغنية
- zane knight (new york) - train of consequences كلمات أغنية
- centro de ensino bom pastor - camilo, comilão كلمات أغنية
- harpyie - voodoo كلمات أغنية