youngkingtz & follow bugatti - mapacha كلمات أغنية
youngking is coming
hahahaha..
ele, bugati kupulu mate te
mapenzi niliyo nayo kutoka kwako
hayana mwisho hayana mwisho
nitakua na wewe sikuzote
zamaisha zamaisha
nitakua na wewe kama ndege
walio fanana kila njia
nitapita na wewe kila kona
nitasepa na wewe siku siku siku
nitakua na wewe leo
mpaka kesho
sitamani siku uniache peke yangu
nitaumia nitalia
nitaumia nitalia
mimi na wewe ni mapacha
mimi na wewe ni mapacha
mimi na wewe ni mapacha
mimi na wewe ni mapacha
kabadii
for your first time tulikutana semu
isiyo julikana
nikaonana naye
akageyi namba
aka ni do me do me
moja yani mpaka k_mi…ooooh!!
ndo nimefika mjini sa wengine wa nini?
ye ndo wa jina jina jina jinaeeh. jinaa
hata siku hakihama mtazikwa naye
follow na jina jina jina jinaee
ndomana kila kona
mi napita naye
ma señorita señorita
mamacita mamacita
wamfunga bwéngè únishiétèeeh
maiyoma licha my future
no’úcangácângà ónge to’etèe
nitakua na wewe leo
mpaka kesho. sitamani
siku uniache peke yangu
nitaumia nitalia
nitaumia nitalia
mimi na wewe nima pacha
mimi na wewe nima pacha
mimi na wewe nima pacha
mimi na wewe nima pacha
mmmh..aaaaalifu
ele, bugati kupulu mate te..
كلمات أغنية عشوائية
- saddlove - забуду тебя كلمات أغنية
- jayoo da boss - upcoming talent jayoo da boss taking music to the next level! كلمات أغنية
- cesca - tahan na كلمات أغنية
- baby shabba - un enemigo كلمات أغنية
- venjent - flowin' with the vibe كلمات أغنية
- headtooloud - morning كلمات أغنية
- demxlisher - ненавидь меня (hate me) (хба diss) كلمات أغنية
- marek (svll) - lietadlá كلمات أغنية
- tamara kramar - hey pretty girl كلمات أغنية
- mino gwy - bellme كلمات أغنية