young killer msodoki - happy birthday كلمات الأغنية
[intro]
eh bwana
(dapro on the track)
happy, happy birthday to you
happy, happy birthday to you
happy, happy birthday to you
happy, happy birthday to you
[verse 1]
today is my birthday
so, i’m happy leo kinoma
nitakula, nitakunywa na nyama nitachoma
napokea gift na ujumbe wa kunishauri nausoma
ukiwa karibu nakuonjesha keki ‘ilivyo nona
leo sitaki ma_stress
leo nata ku_party
leo sitaki ma_snitch
haya, leo sitaki wanafki
mi leo nataka kutoka
leo sitaki kubaki
leo mmemjua nimpendae, basi mpeni nafasi
tusherekee…
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy birthday to me
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
[verse 2]
okay, sorry wote cheers
usishushe chini, tupige picha kwa pamoja tutupie mjini
maisha mafupi afu matamu
na hii ndio siku tuliyo ingoja kwa hamu
happy birthday to me
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
more life, more sucesss, more happy (?) ma_stress)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy birthday to me
[verse 3]
baada ya kutimia saa sita ‘na vi_jidakika
nimeulamba, nimetoka bomba, bomba
yaani nimetoka chicha, napiga vi_picha
watu washaanza kunizonga, zonga
naanza kupokea zawadi
usinimwagie maji
sitaki uchokozi
sitaki uchokozi
mwenzenu, leo siku yangu
waambie washkaji ni furaha
happy birthday to me
happy birthday to me
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy birthday to me
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy birthday to me
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
more life, more sucesss, more happy (?) ma_stress)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy birthday to me
كلمات أغنية عشوائية
- emoponto - cenobita كلمات الأغنية
- xia - pit a pat كلمات الأغنية
- elzhi - thugged out zombies كلمات الأغنية
- heiby mello - ex dama do meu dread كلمات الأغنية
- xoxy - memories كلمات الأغنية
- burton cummings - on a stage كلمات الأغنية
- charly black & sak noel - diggy dee (remix) كلمات الأغنية
- oneda444 - romance477 كلمات الأغنية
- eduardo ferreira - mar de constelação كلمات الأغنية
- bigantdog (raps) - freestyle b.a.d* كلمات الأغنية