kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young daresalama - noma kweli كلمات الأغنية

Loading...

kuliko unipende, alafu kesho ukanichukia
bora unikwepe utakuwa umenisaidia
najua mengi umeshasikia na uwongo pia
ila sijali sasa hivi
nachotaka ni kuskia ukisema

heeeeee… sema sema hee. yeah
sema heeeeee. sema hee!
let’s go to the…
sema sema sema
hee! hee! hee! heee!
hee! hee! hee! heee!
hee! hee! hee! heee!
hee! hee! hee! heee!

siku nzuri asubuhi k-mekucha
ndo nak-mbuka kwamba leo na shishy kitanukaa
beiby nae kacharuka
kakuta text za madem wanataka kuibukaa
home kikanuka soo
nisisindwe ku solvu
nikak-mbuka tu kusema am sorry
nikamvuta njoo, hapo nina bukta soo
kutoka nje ka nimeshikwa ukooni

watu heeeeeeee… hee!
aaaah noma kweli
heeeeee… heee!
let’s go, twende
hee! hee! hee! heee!
hee! hee! hee! heee!
hee! hee! hee! heee!
hee! hee! hee! heee!

tumekaa siku ya pili
baada ya moja mbili
nikaona dalili tu
utaanza timbwili
sikusubiri nikaona bora kujichenga
uoga nao akili
nikaona bora kujitenga
mara hiki, mara kile
mara kiki, mara zile
za kufanya mimi nisile
niko hivi kisa ni wewee
aaah! sio kifo mpaka milele
niko na wewe, sio kifo mpaka milele
kuliko unipende, alaf kesho ukanichukia
bora nikuwepo utakuwa umenisaidia
najua mengi umeshasikia na uwongo pia
ila sijali sasa hivi nachotaka ni kuskia ukisema
heeehhh… sema sema hee!
noma kweli
heeehhh… sema … eeh!
let’s go to the… twende
hee! hee! hee! heee!
hee! hee! hee! heee!
hee! hee! hee! heee!
hee! hee! hee! heee!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...