kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young daresalama - naoa كلمات الأغنية

Loading...

mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh)

mama leo nao
ahaa huoni usoni nkivojawa nafura
sioni wala alienuna
nimesaliti chama la mabachela (wanangu am sorry)
zitapungua ruti za maskani (wanangu am sorry)
kukesha bar ndo basi stakitena (stakitena)
makurumbembe stakitena (stakitena)
vicheche watoto watown stakitena (stakitena)
makurumbembe stakitena (stakitena)
mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh)
mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh)
mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh)
mama leo nao
ka kukupenda makosa nifunge jela ya mapenzi
mana nlipotoka si walinifanyia ushenzi
baby hiki ndo nataka baby please nakuhitaji
kwani baby nini unataka zaidi minkuweke ndani
utakula good time hatakama huna mood fine
honeymoon na good wine afucheki mmeo nnavo shine
hеbu dj rewind praa…
nimesaliti chama la mabachela (wanangu am sorry)
zitapungua ruti za maskani (wanangu am sorry)
kukеsha bar ndo basi stakitena (stakitena)
makurumbembe stakitena (stakitena)
vicheche watoto watown stakitena (stakitena)
makurumbembe stakitena (stakitena)
mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh)
mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh)
mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh)
mama leo nao
wololoo…
basi piga vigelegele (wololoo…)
usione hatari vigeregere (wololoo…)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...