kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young daresalama - bongo bahati mbaya كلمات الأغنية

Loading...

it’s another one (it’s another one) woo!
yah, touch (touch)
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya

maisha ndo’ haya haya, sa’ nitaenda wapi?
bongo bahati mbaya hollywood yetu masaki
usishangae natamba a’fu wewe hauna chambi
mi’ mwembamba ila napiga show za kitambi
bongo bahati mbaya
bongo bahati mbaya
bongo bahati mbaya
karibu ulaya
bongo bahati mbaya
bongo bahati mbaya
bongo babati mbaya
karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (yeah)

wanaogopa kusema hii kama mbele
ila hapa ndo nyumbani napiga misele
wanaogopa kusepa hapa haina kwere
ila hapa ndo nyumbani siogopi maseke
a’fu mi’ mnyamwezi uliopoteza passpoti
niko bongo bahati mbaya tu unyamwezi sio wa kufosi
ukiniona kama tozi, niunguse nije na kikosi (bra)
nimepiga pamba a’fu sio za kukodi (oyi)
bongo bahati mbaya
bongo bahati mbaya
bongo bahati mbaya
karibu ulaya
bongo bahati mbaya
bongo bahati mbaya
bongo babati mbaya
karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (yeah)
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (yeah)
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya
haijalishi niko wapi, lazima niko happy
hata nikiwa tu mwenyewe au niko na washikaji
haijalishi niko wapi, lazima niwe msafi
niko bongo bahati mbaya, ila ndo ‘ivo ntakwenda wapi

tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (oya, producеr mi ntikati, eh)
we ndio producer w_ngu mkali, еh?
he_eh, hivi we ni producer au jini?
ahaha! whoa, bongo bahati mbaya

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...