kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young daresalama - baba anarejea كلمات الأغنية

Loading...

tuliskia kodi kodi
watu wakaona kama utani
wako walomwaga pochi
wakihisi mambo ka ya zamani

hamna bongo bahati mbaya
siku hizi bongo kama yami
walotamani niende ulaya
leo nawaalika nyumbani

njoo uone alfajiri
ya kuamkia mbugani
tushangae shangee nyani
lunch twende zanzibari

nashukuru hatupigani
nchi bado ya kijani
niwaambie tu wapinzani
ccm number one

baba huyoo, anarejea
baba huyoo, anarejea
wako wapi? wapinzani washapotea
wako wapi? mafisadi washapotea

baba huyoo, anarejea
baba huyoo, anarejea
wako wapi? wapinzani washapotea
wako wapi? mafisadi washapotea
upinzani wote chali
eti w_n_lia tumewaonea
k_mbe nchi inaendelea
na watanzania wanajionea

sa hamna kuongea ongea
tuzingua anatokea
ka unajua umekosea
kazi huna ishapotea

ni bonge la sherehe, nderemo na vifijo
hata bila ya campaign tungеshinda kwa vishindo
piga vigelegelе leo ni siku ya wazalendo
ccm mbele kwa mbele na hakuna kuacha pengo

baba huyoo, anarejea
baba huyoo, anarejea
wako wapi? wapinzani washapotea
wako wapi? mafisadi washapotea

baba huyoo, anarejea
baba huyoo, anarejea
wako wapi? wapinzani washapotea
wako wapi? mafisadi washapotea

baba tubebe, we tubebe
baba tubebe, we tubebe
baba tubebe, we tubebe
baba tubebe, we tubebe
haha tuliwaambia hapa kazi tu

baba tubebe, we tubebe
baba tubebe, we tubebe
baba tubebe, we tubebe
baba tubebe, we tubebe

baba huyoo, anarejea
baba huyoo, anarejea
wako wapi? wapinzani washapotea
wako wapi? mafisadi washapotea

baba huyoo, anarejea
baba huyoo, anarejea
wako wapi? wapinzani washapotea
wako wapi? mafisadi washapotea

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...