kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young chii - nguvu كلمات الأغنية

Loading...

yeah
yeah
(yeah yeah)

yeah
siku hizi chura ndio nguvu ya demu
sina uhakika kama kiki ndio nguvu ya game
najua siwezi shine bila nguvu ya beat
miaka thelathini jela ndio ya denti

oh
kunyuka pamba nguvu ya bitozi
twenty six namba ndio nguvu ya nyandu tozzy
nyaaau ndio nguvu ya paka
speed na chochoro ndio nguvu ya kibaka

eti papa ndio nguvu ya giggy
halafu kombe si ndio nguvu ya ligi
pesa ndio nguvu ya mapenzi
kupeti bila pesa hiyo ni nguvu ya kishenzi

csa ndio nguvu ya roccana
beat kama hii si ndio ya nguvu ya kuchana
aslay alishine nguvu ya umma
sijui ma_six mehn hiyo ni nguvu ya chuma
hatutumiagi nguvu,akili
neno ninalokupa kuntu,akili
nguvu ya ndoa kutunisha misuli
usipotia nguvu utapata sifuriii
yeah yeeaaa
nakupa hizi taratibu,yeah
uliza nikupe majibu,yeah
nguvu bila akili utaharibu
yeah yeah
mapanch teena.!

you can’t hold me back me nna nguvu ya jesus
mnaroga me ni mw_nga nyie mna nguvu za giza
yeah,duka ni nguvu ya mangi
sometimes kwenda mirembe huwa ni nguvu ya bangi

usitemе mikwara kama una nguvu za soda
zile gwanda na cl!ck_clack ndio nguvu ya soldier
slayqueens ni make up na nguvu ya lipstick
labda misosi ngеli sio nguvu ya shishiii

tabasamu ndio nguvu ya furaha
chozi na magoti ndio nguvu ya msamaha
iko wazi nini nguvu ya sanchi world
nguvu ya mwenye nyumba we usilipe kodi
kufika hapa ni nguvu ya dua
kuzaliwa nguvu ya mungu,bi mkubwa a mshua
baba keagan ndio nguvu ya dar
na supu ya pweza ndio nguvu ya wanaume wa dar
yeah yeah

hatutumiagi nguvu,akili
neno ninalokupa kuntu,akili
nguvu ya ndoa kutunisha misuli
usipotia nguvu utapata sifuriii
yeah yeeaaa
nakupa hizi taratibu,yeah
uliza nikupe majibu,yeah
nguvu bila akili utaharibu
yeah yeah
mapanch teena.!

yeah jimmy jizze whatsup!
_255 pw_nga la tizzy i see ya
meen,yeah
i told ya
tha we won’t stop,now we on top!
its roccana
yeah!

report a problem

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...