
yamoto band - nitakupwelepweta كلمات أغنية
(aslay)
unajifanya bingwa wa kupenda (dada ee)
k_mbe bingwa wa kutenda kuliko kupenda(dada ee)
tena unasifa yakuogopwa kama difenda(dada ee)
umeua wengi ila kw_ngu umedunda
ahh koma ee sitaki nizikwe na kilo mbili kwenye mf_ko
mama ee sitaki familia ilie kwasababu yako
dada eee ananitegemea mama ee (aee)
nikifa atalia sana ee aa
katika familia na mimi ni baba j_po baba yupo
nikija kufa ufa nani ataziba ebu kwenda zako
ananitegemea mama ee aeee
nikifa atalia sana ee
(enock)
kuku wa kizungu mchinjaji ana tabu x2
ebu niache (eeh) ebu niache unapita na dumu la petroli ebu niache x2
una rambo mm nina mua mi ujinga ujinga tu eee hujaniua x2
(chorus)
unakichaa mm nakuita wewe mwendawazimu
nimepata habari mwili wako umeujaza sumu
unang’ang’ana unataka mm kunipa utamu
umekosa sengeru ngoma ya kucheza huna nenda kaicheze
(segere,segere mama
segere segere ohhhh
segere segere mama
(we mwali nenda kaicheze) x2
(maromboso)
(mama mama mama mamaa)
eti ametuma mashoga zake waje kuniambia
roho inamuuma kidudu penzi kinamsumbua
siri imevuma mimenyula wengi wanajipakua
hana huruma kalitoa wapi aje kuniua
ilikuwa siasa nikatoa nikagawanya
nikajua anadanganya we mmbaya wee
nusu dengu nusu dona wengi wao unawadanganya
mama chidi we kitanda huna haya weeee
(bridge)
mimi sio saizi yako nitakupwelepweta bure
tafuta taipu yako wa ilala
mm wa kilungule x2
(beka)
unataka kunipepelusha we kimbunga huniwezi ng’oo
kina chako cha maji marefu kuogelea sikiwezi ng’oo
unashinda kuwinda vyenye kung’aa vya masizi
huvitaki noo
unang’ang’ana kama ruba kweny mwili w_ngu
we nenda zajo yeee
na ushindwe ushindwe uniache mm mwana wa mwenzio
kwetu nd jembe jembe ukivunja mpini ni kilio x2
(chorus)
(bridge)
(aslay)
ana chuma cha moto huyoo
anaunguza watoto huyooo
apewe mkong’oto huyooo
ili ifike mwisho huyooo
tabia yake,tabia yake,tabia yake
asante
كلمات أغنية عشوائية
- pit et rik - albert كلمات أغنية
- pit et rik - la crotte cra et le crotte fort كلمات أغنية
- pit et rik - la tototte كلمات أغنية
- pit et rik - le nanar et la kikogne كلمات أغنية
- pitty sing - anyway كلمات أغنية
- pitty sing - bleeding hearts كلمات أغنية
- pitty sing - ctwyl كلمات أغنية
- pitty sing - go cry كلمات أغنية
- pitty sing - fallen كلمات أغنية
- pitty sing - robots كلمات أغنية