kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

yamoto band - nitajuta كلمات الأغنية

Loading...

[intro: mbosso]
yamoto
yamoto band (oooh, yeah, yeah, yeah, yeah)
yamoto
yamoto band (ah, mkubwa na wanawe)
yamoto (oh)
yamoto band (oooh yeah, oooh yeah)
yamoto
yamoto band
yamoto band

[verse 1: mbosso]
kazini niende, nirudi na sembe robo
nnachotaka unipende, nipunguze wenge, ‘zogo
waepuke wapambe, wasilete mbwembwe, ‘uongo
kwa maneno ya wembe, wakachana ngebe, ‘fujo
oh
moyo wa chuma sina
usije nipa taabu
ongeza penzi kwa kina
jumuisha na wivu
moyo wa chuma sina
usije nipa taabu
ongeza penzi kwa kina
jumuisha na wivu
[verse 2: aslay]
achana nao wanaopiga majungu
(aa_aa_aah)
skendo mpya mi natoka na mzungu
(aa_aa_aah)
ah, nipende mimi wengine kwako wachune
(aa_aa_aah)
tumetoka mbali, ugali na karusumo
nasema nibemende, nipelembe
nnachotaka yetu si yasonge
tuwaache wapige kelele, ai!
ya kwetu sie yasonga
nibemende, nipelembe
nnachotaka yetu si yasonge
tuwaache wapige kelele, ah
ya kwetu sie yasonga

[chorus]
nitajuta
ukiondoka
nitajuta
ongeza silaha, baba na mama wakupende
nitajuta (oh, yeah, yeah)
ukiondoka (ooh, mama, mama)
nitajuta
now mimi na wewe, wengine wakwepe
[post_chorus]
usijibane, bane (woah)
usijibane, bane (yeah)
usijibane, bane we
nakupa chance mama kuniperemba
usijibane, bane (ah, yeah)
usijibane, bane (woah)
usijibane, bane
vyovyote fanya mama mimi nitapenda

[verse 3]
mtu kunywa, kunywa milenda sio ufala ila kupendwa
nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila kupenda
mtu kunywa, kunywa milenda sio ufala ila kupendwa eh
nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila kupenda (tumekupata)

[hook: enock bella]
kaa mbali nami (nimeshapenda)
kaa mbali nami (nimeshapenda)
kaa mbali nami (kama kibaka kuomba lifti kwenye difenda)
kaa mbali nami (nimeshakufa)
kaa mbali nami (nimeshaoza)
kaa mbali nami (kama kibaka kuomba lifti kwenye difenda)

[verse 4: beka flavour]
baby, baby
nakupenda sana
nishike, nikushike, ‘milele tusije kuachana
baby, baby
nakupenda sana
nishike, nikushike, ‘milele tusije kuachana
baki na mimi, ih ih
wengine wa nini, mimi
naogopa maradhi ndio maana niko makini mimi
baki na mimi, wi, wi
wengine wa nini, mimi
naogopa maradhi ndio maana niko makini mimi
yih!
yih!

[chorus]
nitajuta
ukiondoka
nitajuta
ongeza silaha, baba na mama wakupende
nitajuta (oh, yeah, yeah)
ukiondoka (ooh, mama, mama)
nitajuta
now mimi na wewe, wengine wakwepe

[post_chorus]
usijibane, bane (woah)
usijibane, bane (yeah)
usijibane, bane we
nakupa chance mama kuniperemba
usijibane, bane (ayee)
usijibane, bane (woah)
usijibane, bane
vyovyote fanya mama mimi nitapenda

[outro]
how come vimezaliwa vingi vya utamu
how come vimezaliwa vingi vya utamu
how come vimezaliwa vingi vya utamu
how come vimezaliwa vingi vya utamu
how come vimezaliwa vingi vya utamu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...