yamoto band - basi كلمات الأغنية
mhuu eeheeheeeeh
ahha mhuu ahha
w-ngu mtima unauchanachana
ukaona haitoshi damu na hiyo ukanywa eeh
mwenzako nasimamia kucha mamae
mbona mapema umebadilika aiwe aahaahaahaah
nateseka peke yangu (kwenye godoro)
usiku ukiludi umelewa eeh (nakula kipolo)
naulumia moyo w-ngu (unabaki dolo)
mapenzi yaniua kihoroe (mhuuu)
kusema ndo cwezi naishia tu kusema isha-allah
ohh mapenzi ucku ntalala ai aaaa
aah ndo kwanza tupo kati ya safari yetu
tuliyo panga tusonge mimi na wewewe
nashangaa umekatisha zuri penzi letu
umeniacha mwenyewe wapi me niende
aah na mama nitamweleza nn
mana nilishamwambia
mwenzako umenikata ini nyongo inaning’inia
na baba nitamwambia nn
nae akija ckia mwenzako umenikata ini nyongo inaning’inia
hali cshwari mwenzako naona maluweluwe
kupendwa ugonjwa na kweli wataka uniuweee mhuu aahaah
kipele kipele kipele mwenzako kinawasha
naogopa kuropoka najua utaniacha
ucje kunibwaga jamani (bac mama bac nanyenyekea)
me kwako hoi taabani
bodaboda unipe huruma
ucpime penzi kwa mzani
pale butcher lilipo isha nyama likabaki shoka tu hapo ndo mwanzo wa fujo zako
nilikua nimenona nimebaki mifupa tu chanzo mawazo sababu yako
kama kosa kupenda ni dhambi kesho kwa mola nitakaa kitako nimuaombe radhi
ukisema unakwenda bac nenda na moyo w-ngu kweli penzi kilema niachie magongo yangu wee
sawa unachelewa kurudi nyumbani(bado hujanikomoa)
aah ntavumilia tu
eeh nakupenda sana
kama sumu nishalamba panya
nimekua mlinzi na mgambo cj-pitia unanikunisha n-z- na kuosha masufuria
mchaka mchaka moyo w-ngu unaupeleka mbio kishenzi natamani
kusema bac ila nashindwa kukufuta kwenye moyo w-ngu wakati nishadata nashindwa eeh
nahisi ujinga etileo nitake kutoka wakati cjajenga nashindwa eeheeh
كلمات أغنية عشوائية
- mono inc. - princess of the night كلمات الأغنية
- blue eyed bandit - one got shot كلمات الأغنية
- j magnus - dim the lights كلمات الأغنية
- vernon trumbull and his kinsmen - free from the pain كلمات الأغنية
- d.n (daniale neznamov) - пачка денег (a bundle of money) كلمات الأغنية
- bêta (fra) - j'mise gros كلمات الأغنية
- yung demons - in tha benz كلمات الأغنية
- tiket - 2 wajah كلمات الأغنية
- thisisaq & brymo - all by yourself كلمات الأغنية
- high valley - memory makin’ (farmhouse sessions) كلمات الأغنية