
yammi - tiririka كلمات أغنية
mhhh mhhh
ahhh
[verse 1]
mapenzi yamenibadilisha
siku hizi sinaga ubabe
nishakuwa gucha
niache moyoni niyabebe babe
mimi ni kuku wako
ukitaka mayai niyatage sema
na ukiona na ujinga
we nisitiri usinibwage
sina matamanio nishavukaga uko
sinto ivua vazi la heshima
ulionivisha kwa upendo
sina matarajio
yakuondoka kwako
dunia imeshabadili wengi
wakawa vituko
[bridge]
mapenzi sio mchezo wa ngumi
nipige na khanga au ukuni
hata ukinifinya finya haiumi
naona raha
naisoma namba kwa kirumi
huu mchezo gani mbona wakihuni
hata ukinifinya finya haiumi
aaaah naona raha
unanijaza upendo mpaka unatiririka
[chorus]
tiriririii
unanitiririka tiriririii
tiriririii tiriririii
upendo unanitiririka mie
tiriririii tiriririii
ahaaaaa ahaaaa
[verse 2]
tiriririka kama si diaba
najaza ndoo
raha nazompa
eti kama marhaba
nikimpa shikamoo
haniachi njiani nafika
mi kwake yes sisemi no
siwezagi kususa
nisipomuona waf_kuta moyo
asante angalau
umenionesha maana ya upendo
na sio kwa nahau (kwa nahau)
umenionesha kwa vitendo
sitokaaga nisahau
nilinyanyasika hapo mwanzo
niliyaoga madharau
kwa k_mpenda asiojali upendo
[bridge]
mapenzi sio mchezo wa ngumi
nipige na khanga au ukuni
hata ukinifinya finya haiumi
naona raha
naisoma namba kwa kirumi
huu mchezo gani mbona wakihuni
hata ukinifinya finya haiumi
aaaah naona raha
unanijaza upendo mpaka unatiririka
[chorus]
tiriririii
unanitiririka tiriririii
tiriririii tiriririii
upendo unanitiririka mie
tiriririii tiriririii
كلمات أغنية عشوائية
- las (fr) - pas besoin كلمات أغنية
- dnick - wrappers كلمات أغنية
- the beach boys - never learn not to love كلمات أغنية
- prinz pi - wunderkind 2 كلمات أغنية
- asbestos lead asbestos - not your average twink كلمات أغنية
- brainstorm ink - encre et mesure كلمات أغنية
- ishfai mw - goes on كلمات أغنية
- las (fr) - ma définition كلمات أغنية
- john trudell & jesse ed davis - poetic motion كلمات أغنية
- secret service - the dancer كلمات أغنية