
yammi - nitadumu nae كلمات الأغنية
[intro]
(aa_ah, ah_ah)
yammi, yammi
(oh, taabani)
(mafeeling make it)
(ah_ah)
[verse 1 : yammi & mbosso]
ah, ka’ kasoma veta, ye’ ni fundi wa mambo
atw_nga pepeta kwa vya juu viw_ngo
oh, raha naseleleka (selele) mahaba hayaishi bando
chumba ni hekaheka vita ya unyago na jando
[pre_chorus : yammi & mbosso]
oh_oh, yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani
kutwa kunijaza jaza mi’ kajol yeye sha rukh khan
anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani
raha zimenipumbaza mie hoi taabani
magharibi natafuta sababu
bibi namtafuta babu
aniita ya qalbi majina ya kiarabu
twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu
[chorus : yammi & mbosso]
nitadumu nae kwa nguvu za manani
jaribuni baadae kwa sasa hapatikani
nitadumu nae kwa nguvu za manani
jaribuni baadae kwa sasa hapatikani
[verse 2 : yammi & mbosso]
(oh_oh), oh_oh (la_la_la), la_la_la (ah_ah), ah_ah
so dawa za china si mizizi ya congo (ya congo)
nampa mchai chai na supu ya kamongo (kamongo)
oh, full stamina anibeba kwa mugongo (mugongo)
mambo ya kwenye mtima sio kupendana kwa hongo (kwa hongo)
[pre_chorus : yammi & mbosso]
oh_oh, yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani
kutwa kunijaza jaza mi’ kajol yeye sha rukh khan
anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani
raha zimenipumbaza mie hoi taabani
magharibi natafuta sababu
bibi namtafuta babu
aniita ya qalbi majina ya kiarabu
twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu
[chorus : yammi & mbosso]
nitadumu nae kwa nguvu za manani (nguvu za manani, nguvu)
jaribuni baadae (oh_oh), kwa sasa hapatikani (nimemuweka ndani)
poleni miungu watu mahodari wa kutabiri (nitadumu nae kwa nguvu za manani)
hatuachani katu roho zimeungana na miili (jaribuni baadae kwa sasa hapatikani)
[outro : yammi & mbosso]
anatembea na roho yangu, anatembea na mwili w_ngu
anatembea na pumzi zangu, mimi, mimi, mimi
kamix lizer
كلمات أغنية عشوائية
- gentleman reg - too drunk كلمات الأغنية
- heidi happy - on the hills كلمات الأغنية
- eugene mcguinness - videogame كلمات الأغنية
- gypsy the cat - jona vark كلمات الأغنية
- vespers - will you love me كلمات الأغنية
- california wives - the fisher king كلمات الأغنية
- twin shadow - tyrant destroyed كلمات الأغنية
- bony king of nowhere - wild flowers كلمات الأغنية
- izabo - fashion free كلمات الأغنية
- lie captive - face turns blue كلمات الأغنية