
yammi - hanipendi lyrics
hivi unavyo nifanyia naomba visijirudi kwako
maana mi naupenda moyo wako
nime muonaaa dah.. ume mpost mtu wako
mnaendana sanaa na mimi sio type yakoo
nateswa na baridi silalii na weweseka
kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
wakunipendeza amekuwa dhohari nyinyi nataabika
zile njozi sizipati nzuri
ooohhhh
hanipendi hanipendi hanipendi
hanitaki teena jamani hanipendi
hanipendi hanipendi hanipendi
hanitaki teena hanipendi..
kabadilika kawa mbogo instagramu ana post madongo
kautupa moyo kwa korongo sioni kasha nipa chongo
mapenzi swala la uwongo siamini nime chezeshwa sodo
mwenzenu nime ukoka moto
unaniunguza mwenyewee
nateswa na baridi silalii na weweseka
kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
wakunipendeza amekuwa dhohari nataabika
zile njozi sizipati nzuri
ooohhhh
hanipendi hanipendi hanipendi
hanitaki teena jamani hanipendi
hanipendi hanipendi hanipendi
hanitaki teena hanipendi
Random Lyrics
- collective soul - counting the days lyrics
- eels - lone wolf lyrics
- lindsay lohan - to know your name lyrics
- i can make a mess like nobody s business - the best happiness money can buy lyrics
- eazy - e - still cruisin' lyrics
- tilly and the wall - reckless lyrics
- edwin mccain - prayer to st. peter lyrics
- fabolous - real talk (123) lyrics
- john frusciante - what i saw lyrics
- blue - after the show lyrics