xtīg£r - zikingwata كلمات الأغنية
zikingwata
saba gang
reffa f_ckmaina x hitra x xtīg£r
jeajea saba gang! gang gang! zikingwata!
xtīg£r on the beat!
[chorus : reffa f_ckmaina] x2
zikingwata….
zikingwata hakunao kushukisha (kushukisha!!)
saba gang hakunao kuchachisha (kuchachisha!!)
ka ni fom si huinadi na magiza (na magiza!!)
na warazi riang zao nitazushifra (shifra!!)
zikingwata….!! (zikingwata….!!)
[verse 1 : reffa f_ckmaina]
chum chum ni machang chang
kwanza seti tuziriet twende puff puff
ju ni chain cheki man tunapass
na kipienga hatunyonyi tunamash na ni shasha
niko handas……makatempa natuliza na mariambez
mtaa ni maillegalz
nakuteka magodosho na baadaye kuna fom tuliomoka
twende chum chum
ni machang chang
kwanza seti tuziriet twende puff puff
ju ni chain cheki man tunapass
[chorus : reffa f_ckmaina]
zikingwata….
zikingwata hakunao kushukisha (kushukisha!!)
saba gang hakunao kuchachisha (kuchachisha!!)
ka ni fom si huinadi na magiza (na magiza!!)
na warazi riang zao nitazushifra (shifra!!)
zikingwata….!! (zikingwata….!!)
[verse 2 : hitra]
hitra! maafaka nishaomoka! (shaomoka!)
siko single…. siko solo (siko solo!!)
nikuparty na mangoko itabidi umenisare
na kunifollow ni ungite! (ni ungite!!!)
ni mawhiskey k_mbleki na ladies….
mi tanker simbleki! (simbleeeki!)
jiji…. niko jiji…. nashikisha jaba na injili!! (na injili!!!)
na si siri si shaomoka
ni kuvai na mavibe mashot
kurecall rpg kubandika manjoti (manjoti…)
bend your ass nikipass ninatouch
nakutema nakutoka mabaare!!
ni kudrip! na kuspit! na kuhit!
kututii! na mapills kuzitake! (kuzitake!)
[bridge : reffa f_ckmaina]
zikingwata …!!
zikingwata ….!!
zikingwata …. hakunao kushukisha!!
[chorus : reffa f_ckmaina]
zikingwata….
zikingwata hakunao kushukisha (kushukisha!!)
saba gang hakunao kuchachisha (kuchachisha!!)
ka ni fom si huinadi na magiza (na magiza!!)
na warazi riang zao nitazushifra (shifra!!)
zikingwata….!! (zikingwata….!!)
[verse 3 : xtīg£r]
jeajea! zikingwata!
zikingwata nimelandi na zigi saba
zikingwata tumekuja kuwamada (kuwamada!!)
na tukiseti… mbogi ya mtu saba (mtu saba!!)
saba gang ni mbogi tumekuja (kuwapanga)x2
na… zikingwata tuko rada ya mabang’a(mabang’a!)
jea… xtīg£r kwa ring wanajua ninak!ll (jea!!)
kwa beat nikiroga wanajua mi ndo king
ku…kata! maji! wanajua mi ndo bill
na mahater manjege wamenishika tu na weed
so… zikishika….ni mangoko wanawika
na zikishuka….ni mangoko wanaringa
cheki ni machuraaa… na kwa mboto ni madiva
na ni maguraa…. kuliko shadda ninaiva
so…punguza hio pupa na utembeze kichain
ama uzungushe thutha na ukuwe w_ngu maid
na kwanza ka ni mauta man…! siwezi delay! jea!
[chorus : reffa f_ckmaina] x2
zikingwata….
zikingwata hakunao kushukisha (kushukisha!!)
saba gang hakunao kuchachisha (kuchachisha!!)
ka ni fom si huinadi na magiza (na magiza!!)
na warazi riang zao nitazushifra (shifra!!)
zikingwata….!! (zikingwata….!!)
كلمات أغنية عشوائية
- the motans & inna - tare كلمات الأغنية
- side (tr) - yeni ben كلمات الأغنية
- sports team - r entertainment كلمات الأغنية
- 橘子海 (orange ocean) - lady1st كلمات الأغنية
- percless - mano de santo كلمات الأغنية
- herbert léonard - saint simon كلمات الأغنية
- aquakultre - pay it forward كلمات الأغنية
- pretty obsession - stay with me, lil’ bitch (prod. tydavid) كلمات الأغنية
- purgatory - the rack كلمات الأغنية
- pay money to my pain - greed كلمات الأغنية