xolly - wanga كلمات أغنية
xolly _ w_nga lyrics
intro :
yeah….
x.o.l.l.y (bwanaharusiiii…yeeeeh)
chorus :
w_nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna_spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( mpaka wikieee..)
w_nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna_spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( hadi wikieee..)
verse 1 :
wana ni wengi wanaotaka k_miliki ma_range
kula vizuri kupendeza sio kama hawapendi
sema ndo vile mungu hajabonyeza chake tu kizenji
safari yetu kwa miguu hatujui stendi
bridge :
baba god bless my win
nilipofika mimi siamini
niliotoka nao chimbo wame_separate to find something
wapo hawakutuamini
ila tukajiamini
sasa umetuweka juu, tupo tunawaona wanavyotuthamini
hofu na woga kuwa wanyonge, tuliachaga zamani (toka zamani)
tulikotoka hakuna lofa, wana akili kichwani (wanazo kichwani, ila w_nga…)
chorus :
w_nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna_spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( mpaka wikieee..)
w_nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna_spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( hadi wikieee..)
verse 2 :
unajua wanangu walipo…sa hivi wana pop ma champaign tu, ma hennessy cuz
vumbi disco
nilikotoka mimi sio simple
nilichokalilishwa ni mshiko
halafu kwenye hustle ni ushindi au kifo
bora nipoteze muda w_ngu for the money
story nikipiga na washkaji ni for the money
du ukini date date me for the money
one call away but talk about money
gucci, prada, lou v sijui ma convoo
mi ni mtu kazi huwezi nikuta na watoto show show
stupid, stupid kwa wenye ma_batery low low
stupid, stupid toa akili zako za 4.4
bridge :
baba god bless my win
nilipofika mimi siamini
niliotoka nao chimbo wame_separate to find something
wapo hawakutuamini
ila tukajiamini
sasa umetuweka juu, tupo tunawaona wanavyotuthamini
hofu na woga kuwa wanyonge, tuliachaga zamani (toka zamani)
tulikotoka hakuna lofa, wana akili kichwani (wanazo kichwani, ooh kichwani ila w_nga…)
chorus :
w_nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna_spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( mpaka wikieee..)
w_nga ni wengi wana chuki zao hawatupendi.. (hawatupeeee..)
kuona tuna_spend kuanzia jumatatu hadi wikiendi..( mpaka wikieee..)
كلمات أغنية عشوائية
- reznik - pořád jenom hate كلمات أغنية
- pretty ricky - feat. static major explicit version كلمات أغنية
- barenaked ladies - non-album track كلمات أغنية
- duffy - i'm scared كلمات أغنية
- achu & karthik - siru nadai (from "urumeen") كلمات أغنية
- the rolling stones - live in ireland / 1965 كلمات أغنية
- indiana bible college choir - at all times كلمات أغنية
- the boomtown rats - i don't like mondays (edit) كلمات أغنية
- tommy torres - live version كلمات أغنية
- robert johnson - travelling riverside blues كلمات أغنية