
xhatoh - ruba كلمات أغنية
xhatoh_ ruba lyrics
intro
holla dummy ,stop there
am 2pac ,acha shibo
niga utadata mo zafvka
lay up ,roll up ,stay high
stay up ,acha kutufwata niga utadata mo zafvka
chorus
huna geto, huna ndinga, huna jambo
mtaani unachili ,demu mkali huna
afu huna dooh!!!ϼ
huna geto, huna ndinga, huna jambo
mtaani unachili ,demu mkali huna
afu huna dooh ϳ ×2
ver se
ukiniona club, kaa mbali babu
ikibidi kaa sub, ni hatari tabu
sipendi ushamba babu
ukiniona una act mjanja
unapiga dubbϳ
wapenda sifa kunywa nyagi kavu
utakuja kuumbuka zikitokea umo kwenye
mbavu
niga na nna comment mwana we husomeki
unavimba huna senti ,waweza sana kufake
mwanzo hukuwa ivo, hukuwa devo
tulikuita kevo , ulikuaga normal
skuizi ruba .˕
hukuwa ivo, hukuwa devo
tulikuita kevo , ulikuaga normal
skuizi ruba .˕
baw baw ukiniona baw baw
popote utaponiona ue mpole dogo
ulipoa apo umeazima hadi mtoko
unavimba vimba izo tabia za kitoto
acha ushamba boiω
chorus
huna geto, huna ndinga, huna jambo
mtaani unachili ,demu mkali huna
afu huna dooh ϳ
huna (geto ×4)
mtaani unachili ,demu mkali huna
niga na eeh eeh eeh huna dooh ϳ ×2
autro
yeeahɯ
كلمات أغنية عشوائية
- asp126 x ugo borghetti - 2009 كلمات أغنية
- lmg records - balling hard maverick كلمات أغنية
- the axis of awesome - use by '97 كلمات أغنية
- febueder - celebrating mask كلمات أغنية
- sevelle taja - i feel كلمات أغنية
- of montreal - the actor's opprobrium كلمات أغنية
- leozinho do ba - leozinho do ba - cobertor | part. belatriz كلمات أغنية
- the triffids - field of glass كلمات أغنية
- banda calypso - chamo por você كلمات أغنية
- エグスプロージョン - 裁判 كلمات أغنية