kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

xboy kayleey - nielewe كلمات الأغنية

Loading...

surprise

xboy kayleey

verse i

kukupenda sina budi
oh beiby
kukupenda imebidi
oh my lady
ndio maana mi nakuita …
uwe w-ngu
mbona beiby unasita…
njoo kw-ngu
nini mbaya na nimedata
upati wanzo langu
kwani lini nitakupata
oh beiby uwe w-ngu

wacha nidhamini oooh beiby
wacha nikuamini…ah aaah

sub-hook

wacha nidhamini
ufuati pesa beiby ooh
wacha nidhamini
autonitesa lady ooh

hook
natamani niwe nawe
oh maishani
hivo naomba unielewe
uwe w-ngu mi

natamani niwe nawe
oh maishani
hivo naomba unielewe
uwe mwandani

uwe mwandani x 2

verse ii

natamani bonge la kike…
penzi unizame
utulie usisumbuke
wayaseme

j-po ulofa mi nganga
oh beiy nielewe
kwa sana niondoe majanga
mimi nikupate wewe

hivo naomba unipende ..ke
usijiondoe
unipende na usiondoke…
nikuoe

sub-hook

wacha nidhamini
ufuati pesa beiby ooh
wacha nidhamini
autonitesa lady ooh

hook
natamani niwe nawe
oh maishani
hivo naomba unielewe
uwe w-ngu mi

natamani niwe nawe
oh maishani
hivo naomba unielewe
uwe mwandani

uwe mwandani x 2

bridge
nielewe ah aaah
nielewe beiby
nielewe ah aaah
nielewe

uwe mwandani x 2

yo t.w.m { tajiri wa mistari }
mtoto wa liz
ady brazza
wataipenda tu
oh oooh

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...