kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

xam duke - unashangaa nini? كلمات الأغنية

Loading...

(intro:)
unashangaa nini, unashangaa nini
over gang ls (ah)
ehhhh (wshew wshew) eehhh
eehhh divai
(hook:)
unashangaa nini wee
unashangaa nini (brr woo) nini nini
unashangaa nini wee
unashangaa nini nini nini
unashangaa nini wee
unashangaa nini nini nini
unashangaa nini wee
unashangaa nini nini nini
(verse 1)
unashangaa nini
kwenda mwezini na parachuti
xamduke kunywa chai na biscuit(paa!)
unashangaa nini
kuwa na dem mrefu arafu me mfupi
demu kupulizia perfumer chupi(brrr)
unashangaa nini
kunyoa kipara juu ya kiduku
kufanya kazi ngumu arafu malipo usidai(ah)
ujidai unadai aujachoka
unashangaa nini
sabintana kuflow kwenye beat ya taarabu(pupupu)
fresh arafu mbona ni ustaraabu
unashangaa nini ukimaliza kufanya mapenzi
ndio uvae kondomu
kufungulia chupa ya bia nyundo(wshew)
unashangaa nini ndege kurudi reverse(ah)
mbuzi akipiga nyeto
akitumia detto arafu kwenye manyasi
mvuvi akivua mamba
kalapina akiimba singeli
kulipia bill ya maji sheli
k-muona sister doo ana machacha
(hook)
unashangaa nini wee
unashangaa nini (brr woo) nini nini
unashangaa nini wee
unashangaa nini nini nini
unashangaa nini wee
unashangaa nini nini nini
unashangaa nini wee
unashangaa nini nini nini
(verse 2
unashangaa nini
nazzy kwenda south bila pasport(mhh)
arafu bado akaripot(ha!)
kupost picha bila picha bila network
bila smartphone (byeah)arafu bado wakalike
kutongoza mademu kila baada ya saa
kila nusu saa(wshew), sekunde na madakika kadhaa
unashangaa nini
kuwa na smartphone kubwa (skrr)
kupata bundle shida au labda umeiba
unashangaa nini
were kula muwa kapaka sukari
joh dreamer kuogea juu ya gari(pupu)
unashangaa nini
kwenda beach (shew)arafu hakuna maji
arafu fresh ukaforce kuvua samaki
unashangaa nini
k-mcheck dem kapaka rangi ya
kucha kwenye nyusi (he!)
unashangaa nini(yea),unashangaa nini
kunyoa mavuzi shabalanks
nazo pia ni nywele kwahiyo zinahitaji style
kuchinja mbuzi utupe nyama arafu upike ngozi
kufua nguo umalize uanike juu ya maji
unashangaa nini
kuwashia torch petrol
trol kubeba trip nyingi kama roli
unashangaa nini kuona meli sheli
mwanafunzi k-mpga mwalimu?
sindo haki elimu?(wo!)
unashangaa nini
kunyonya pipi na k-ma vyote si vitamu
kwahiyo utamu utaongezeka (ndio)
(hook)
unashangaa nini wee
unashangaa nini (brr woo) nini nini
unashangaa nini wee
unashangaa nini nini nini
unashangaa nini wee
unashangaa nini nini nini
unashangaa nini wee
unashangaa nini nini nini
(outro)
unashangaa nini wee
unashangaa nini wee
unashangaa nini wee
ah xam duke unashangaa nini

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...