xam duke - popote (kokote) كلمات الأغنية
(intro)
aha,gyah,yeah xam duke, divai
ehe,okay okay
come on baby, come on baby
(verse 1)
wendo bonge la ndoto
moyoni mw-ngu sina mpango
na machangu baby baki kw-ngu
sogea ghetto ustay namii
sina mwingine tofauti na wewee
wakunia kiwewee (hee)
niamini ,niamini me ntabaki wako
j-po sometime kuna vingi vikwazo
mbeleni tuendako
inabidi kuwa strong na maneno
ya binadamu
kwani wengi wao hawapendi tufike mbali
jiadhari na mashost wenye maneno atari
ntakujari kwa kila hari
popote,kokote me ntasimama kidete
ndani ya game niruhusu me nisuk-me
izo kete, tupete
umeniteka zangu hisia mbaya nikikupimia
mbaya zaidi ukinikiss mchizi najipizia
msimamo kama chid
sitopenda mwingine zaidi yako
me na wee toka long time ago
(hook)
ppote,kokote
me ntabaki kuwa wako baby
popote,kokotee
nikianguka uniokote
popote,kokote
utabaki kuwa w-ngu baby
popote,kokote
nikianguka uniokote
(verse 2)
siwezi toka nje ya penzi
mpaka w-nga wanakoma
wanaona nouma jinsi tulivyoshibana
kinyamwezi wawili kama pair
kila code maumivu si tunapepea
tunatembea,tunabembea
siwezi k-mbuka wa rong time
sababu nipo nawee
nisawa na kutupa jiwe angani
au fanani bila hadhira
izi ni hasira za verse
uleta furaha ndani ya moyo
napenda unavyo tabasamu
nikiwa na hamu kunipunguzia jamu
huko fresh kuanzia juu mpaka chini
arufu nzuri, mixer kuzama chumvini
mchizi najiamini niko chimbo
nasaka madini,nasaka mapene
nikiwa fresh tukeshe usiku mnene
mezani full heinken
mara kibao ukiwa nami
unaegemea tu bega
napenda unavyo talk
kwa kustop kama vile umejitega
jitega jitega,popote, kokote
(hook)
ppote,kokote
me ntabaki kuwa wako baby
popote,kokotee
nikianguka uniokote
popote,kokote
utabaki kuwa w-ngu baby
popote,kokote
nikianguka uniokote
(outro)
jeba one music
كلمات أغنية عشوائية
- giovanni zarrella - santa maria كلمات الأغنية
- justin gombita - closet guitar كلمات الأغنية
- sarah hudson - pop the balloons كلمات الأغنية
- loony johnson - vou ser teu كلمات الأغنية
- my last bike - luzes de natal كلمات الأغنية
- movimiento original - un poquito de ti كلمات الأغنية
- dj k-leb - ok, you're right كلمات الأغنية
- roman (us) - for those you'll never forget كلمات الأغنية
- zakdarn - my mind كلمات الأغنية
- sorcerer - where spirits die كلمات الأغنية