kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

willy paul - nishikilie كلمات أغنية

Loading...

[intro]
oooh nitaweka kifuani mw_ngu
oooh pozee

[verse 1 : w_lly paul]
oooh beiby, nimekupenda kwa ndani
nikupeleke mombasa kwa joho
ukakule na raha mama
michezo ya zigizigi
ya kiwiliwili mama
utapenda cherie oooh
nitapojikaza mmmh
nikaribie nikweleze
navyohisi moyoni mw_ngu baby
baby ukinitouch, mi napigwa na butwaa
tukigombana mi napatwa na huzuni
ukiniacha mie, nitaumia moyoni
njoo nikugawie, nikugurumishe
oooh beiby, nikugawie, nikugurumishe

[chorus : w_lly paul & ali kiba & ommy dimpoz]
ooh
basi mie, nik_mbatie nishikilie
deka kifuani mw_ngu, nik_mbatie nishikilie
lala kifuani mw_ngu, nik_mbatie nishikilie
deka kifuani mw_ngu, nik_mbatie nishikilie
lala kifuani mw_ngu
[verse 2 : ommy dimpoz]
kama moyo ungekuwa kitabu, ningekupa usome
kama moyo ungekuwa kitabu, ningekupa usome
basi unipe majigijigi nijigi jigi
twende wotе mama
michezo ya zigizigi ya kiwiliwili
twende wotе mama
ah leo nipe majigijigi nijigi jigi
twende wote mama
michezo ya zigizigi ya kiwiliwili
twende wote mama

[chorus : w_lly paul & ali kiba & ommy dimpoz]
basi mie, nik_mbatie nishikilie
deka kifuani mw_ngu, nik_mbatie nishikilie
lala kifuani mw_ngu, nik_mbatie nishikilie
deka kifuani mw_ngu, nik_mbatie nishikilie
lala kifuani mw_ngu

[verse 3 : w_lly paul & ali kiba ]
isiulizwe madoido lolo
ni mwendo ule ule eeh
na jinsi navyopenda ulivyo
ni mwendo ule ule eeh
oooh my darling mwendo ni ule
yeah yeah yeah, umenikosha roho
ni mwendo oooh
mambo bado, my hunny ooh
my beiby my sweety potato
my hunny ooh, my hunny eeh
ni mwendo oooh
maah aah, maneno ni ile ile eeh
my sweetie ooh, nik_mbatie nishikilie
lala kifuani mw_ngu, oooh ooh ooh
mwendo wa kinyonga, ooh ooh yeah
[outro]
ali ooh, ali yoyo (yeah baba eeh)
alright, eeyoo
w_lly pozee (pozee)
dimpoz pozi pozi (pause kwa mapozi)
nik_mbatie, unishikilie
kifuani mw_ngu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...