willy paul - la la la كلمات الأغنية
naimba toka motema ooh baby usije nitema
naimba toka motema ooh baby usije nitema
baby i never thought they’d come a day
ninge fall in love like this
i never thought they’d come a day
ninge fall in love like this
walahi this is love this is love this is love that i’m feeling
this is love this is love this is love that i’m feeling
baby niko sure nataka kuwa na wewe only you
niko sure nataka kuishi na wewe only you uuh
imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba
akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba
ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
and i can’t do without you nakupenda na na nakuta
and i can’t live without you nakupеnda na na nakutaka
ooh lala lalalalala, lalalalala ooh lala lalalalala lalalalala
jovi ona polisi anavolia mpaka mufungwa anamubembeleza
k_mbе mapenzi haitambui hata wenyu bunduki
inapepeta tu kama risasi
kama water fall
mapenzi yana tiririka mwilini mw_ngu
mapenzi ni ya wawili
nimalize nibaki kiwili wili
nimefall in love
nimefall in love, fall in love
nimefall in love
imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba
akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba
ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
and i can’t do without you nakupenda na na nakuta
and i can’t live without you nakupenda na na nakutaka
ooh lala lalalalala, lalalalala ooh lala lalalalala lalalalala
كلمات أغنية عشوائية
- walt disney records - gastón [gaston] (latin spanish) كلمات الأغنية
- xaxanity - living life like a highlight كلمات الأغنية
- thenewno2 - i won't go كلمات الأغنية
- syris - tranced up كلمات الأغنية
- fraggle rock - yes, we can كلمات الأغنية
- concrete dream - called out كلمات الأغنية
- gary valenciano - ipagpatuloy mo, galing ng pilipino (tfc theme) كلمات الأغنية
- graith - daydream كلمات الأغنية
- london kees - pull up كلمات الأغنية
- henrique pratis - azul كلمات الأغنية