
willy paul - hallelujah كلمات أغنية
saldido!
umeninogesha na mapenzi matamu (w_lly paul)
umeninogesha baby i got love (nandy eeh)
umeninogesha na mapenzi matamu
(kimamba on the beat)
umeninogesha baby i can’t deny (pozee)
mwana mkunaji
limemkuta pele(ka kololo)
michezo ya selina
kuchezeana nywele(ka kololo)
mwenzako mapenzi yamenizidia
ukiniacha nitakufa nitaning’inia
kwa yako mapenzi nimekunywa bia
mi nilewe(ka kololo)
hallelujah eeh
utasema hallelujah(ka kololo)
hallelujah eeh
utasema hallelujah(ka kololo)
mi ni fundi mwenye slow motion
matendo yangu slow but kwenye motion
mi ni fundi mwеnye slow motion
matendo yangu slow but kwenyе motion (ka kololo)
mama nitek, eeeh
nitekenye nicheke, eeeh
unacirculati
mpaka mapepo zangu zina vaporati
hapo juu beiby vibrati
mwenzako chini nifanye kama ground shaker
(ka kololo)
eeh bwana mkunaji
limemkuta pele(ka kololo)
michezo ya selina
kuchezeana nywele(ka kololo)
hallelujah eeh
utasema hallelujah(ka kololo)
hallelujah eeh
utasema hallelujah(ka kololo)
mtoto wa uswahilini(yeah)
nipe mapenzi ya kiswazi
umeiombea, nikakupatia
basi mpenzi iwe siri(ka kololo)
umeiombea, nikakupatia
basi mpenzi iwe siri
mapigo yatapishana(chonde)
usije kunataana(chonde)
tukatoana maaana(chonde)
yaani wewe(kakololo)
hallelujah eeh
utasema hallelujah(ka kololo)
hallelujah eeh
utasema hallelujah(ka kololo)
wala hunaga uoga uoga
navyo ndondosha moja moja
unavyopandaga chuma mboga
yaani wewe(ka kololo)
mapigo yatapishana(chonde)
usije kunataana(chonde)
tukatoana maaana(chonde)
yaani wewe(kakololo)
(faint)
mapigo yatapishana
usije kunataana
tukatoana maaana
yaani wewe(kakololo)
ka kololo, ka kololo
ka kololo
(raizo on the beat)
ka kololo, ka kololo
كلمات أغنية عشوائية
- zara larsson - smoke rings (demo) كلمات أغنية
- yung ghosti - white savior complex كلمات أغنية
- leo svr - gin ou génépi كلمات أغنية
- beenie man - mankind كلمات أغنية
- lee kang seung (이강승) - koko كلمات أغنية
- ephraim adamz - stop asian hate / yellowface كلمات أغنية
- phojh & exxtronbeats - много много (many many) كلمات أغنية
- boiie pablo - belek ii كلمات أغنية
- sabah salum - mambo kuzidiana كلمات أغنية
- r. stevie moore - found a job كلمات أغنية