
willy paul - aheri mama كلمات أغنية
oh ma, mama mama
oh ma, mama mama
oh ma, mama mama
oh ma, mama mama
i could never ask for more
mama amor, nyawa aheri mama
i could never ask for more
mama amor, nyawa aheri mama
and there is a day
ninakuita mama (aheri mama)
and there is a day
ninakuita mama (aheri mama)
najua kuna wale hawanao mama, sio kupenda kwao
najua kuna wale hawatanielewa na sio kupenda kwao
ile nyumba fathe hak_malizia, nik_malizie mama
ile nyumba fathe hak_malizia, nik_malizie mama
ile deni mathe uliomba chuo, nik_malizie mama
na ile nguo ulitamani ya jirani, nikununulie mama
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
oh, i remember salome
nilipokosea ulinichapa kidogo
na nilipokosa chakula mama
ulitafuta kidogo
majirani walipotokelea mama
majirani walipotokelea mama
ata sijui mbona nalia, mbona nawaza mama
sijui mbona nalia, sijui mbona nawaza mama mama
eh, hey (aheri mama)
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
mama (mama) ah mama (mama)
e_eh, mmh
mathe najua unam_miss mume wako fathe
oh pole aisee, nam_miss kama mwana wake
mama i got you, anything you want just tell me
mama i got you, anything you want just tell me
mama, mama, ah
mama i love you mama, i love you mama
كلمات أغنية عشوائية
- guttene - blodbyen كلمات أغنية
- ebenezer san francisco feat. jorge jaenz - dios va delante de mi (en vivo) كلمات أغنية
- plenty4twenty - shit no mo كلمات أغنية
- dirty projectors - fourfiveseconds كلمات أغنية
- lata mangeshkar - jai devi mangala gauri كلمات أغنية
- sibirsky - простите (forgive me) كلمات أغنية
- bobby barth - stop (in the name of love) كلمات أغنية
- שלום חנוך - bemo yaday - במו ידי - shalom hanoch كلمات أغنية
- דודו טסה - ani gitara - אני גיטרה - dudu tassa كلمات أغنية
- bright campa - return of the past كلمات أغنية