kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

whozu - gere كلمات أغنية

Loading...

[intro : alikiba]
aah_aah
yeah! (aah_aah)
s2kizzy baby

[verse 1 : whozu]
eh, boya mie, mie
mjinga wa mapenzi haswa, eh
ah, fala mie, oh, mie
na kwake nimeshanasa, eh_eh

[pre_chorus : whozu]
supu haipandi mama
nikikuudhi naomba samahani mama, haya we
figo zitafeli mama
pombe siziwezi utanikuta mochwari mama
wa kw_ngu ni mtamu (mtam, mtam, mtam)
mambo bam_bam (bam, bam, bam)
twapeana zam_zam (zam, zam, zam)
huniishi ham (ham, ham, ham)

[chorus : whozu]
wanaona gere (mbona w_n_leta jealous)
w_n_leta wivu (mbona w_n_leta jealous)
na wivu utawauwa (ona w_n_leta jealous)
w_n_leta wivu (mbona w_n_leta jealous)
ah, wivu utawauwa
[verse 2 : alikiba]
wanavyosema ridhiki mafungu saba
aah, atuzidishie maulana
mi nasema, tuyazidishe mahaba
ooh, oh, kukuacha mwiko laana
wewe
we familia yangu wewe, ah
we mwanangu mwenyewe, ah_ah
mi siwezi ishi bila wеwe, ah
we mwanangu mwenyеwe, ah_ah
kitu nachoogopa kuwa mbali
nitawezaje hii hali, hii hali kiba

[pre_chorus : alikiba & whozu]
supu haipandi mama
nikikuudhi naomba samahani mama, haya we
figo zitafeli mama
pombe siziwezi utanikuta mochwari mama
wa kw_ngu ni mtam (mtam, mtam, mtam)
mambo bam_bam (bam, bam, bam)
twapeana zam_zam (zam, zam, zam)
huniishi ham (ham, ham, ham)

[chorus : alikiba & whozu]
wanaona gere (mbona w_n_leta jealous)
w_n_leta jealous (mbona w_n_leta jealous)
na wivu utawauwa (ona w_n_leta jealous)
w_n_leta wivu (ona w_n_leta jealous)
wanaona gere
[outro : whozu]
aah_aah_aah, aah_aah_aah
kung fu on the mix

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...