kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

watendawili - ayaya lyrics

Loading...

verse: 1
leo ni kaa
leo ni kaa
zitatushika hadi tushindwe kuenda home
shots zingine zinakam
katululu ndo nimebeba
sitapoteza phone
na form imejipa
tei ndani ya liver na madem wameiva no lie
cannabis sativa, tun_z_wakisha zinataka kutushika all night

pre_chorus
we just getting started
why you leaving in a hurry
baby njoo
kuja usiende mbali
i know you wanna stay, so let me know
when you whine and drop
body like photo shop
you go make man drop
when you whine like that
make that thing go back
you go make man drop

chorus
ayayaya ayayayaya
umekuja na ubaya
ayayaya ayayaya ayayaya
umewakisha fire
ayayaya
verse: 2
femi uno
najikuta vela na velo
napewa lyft na donga
ni roho yangu ama ni beat inagonga
mchana fupi usiku ni much longer
vile utarusha lugha tutajua ka unaeza gonga
rizz fiti i′m tipsy ni risky
waba haina enemy napenda whisky
gun salute mzinga inasimama tisti
usipige shot ka hatujatoast, man don’t p_ss me
pombe kali haijalishi kama pesa ni tam
leo nataka nilewe nipoteze nidham
nipoteze faham ya jana drama filam
vile nilipanda man nikashuka na madam
pombe kali haijalishi kama pesa ni tam
leo nataka nilewe nipoteze nidham
nipoteze faham ya jana drama filam
vile nilipanda man nikashuka na madam

chorus
ayayaya ayayaya
umekuja na ubaya
ayayaya ayayaya ayayaya
umewakisha fire
ayayaya
verse: 3
shmrana wavy wavy wavy
watu wamezima
simu yangu pia imezima
bana leo ni kuririma
mpaka zetu ziraruke
ni kuharibu hadi shokde oyoyo
peng ting amenishika
ameamsha mzee mzima
lakini shida sik_mbuki jina yake
lakini bado joh katambe
katambe katambe eeeh

pre_chorus
we just getting started
why you leaving in a hurry
baby no
kuja usiende mbali
i know you wanna stay, so let me know
when you whine and kotch
body like photo shop
you go make man drop
when you whine like that
make that thing go back
you go make man drop
chorus
ayayaya ayayaya
umekuja na ubaya
ayayaya ayayaya ayayaya
umewakisha fire
ayayaya

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...