kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - tunduraa lyrics

Loading...

yoh yoh yoh yoh
rong rende
tundura mambleina ama?
zozanation yoh
man a driller uh
cheki turn me up turn me up man yoh
carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa
carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa
tupate juu ya ndom na chrome
in short tuko in high spirits
wanakuadore sana mto
mpaka wanawish mngekuja wawili
si ni mahome grown ata kwa tv si uona kbc
kuna siku nimeuliza alexa kama anajua siri akasema zii
eeehhh yoh deal ikiivana seal it
drink ilitepwa master aliekwa chini na guinness mbili
mgema alinena usienda na mrenga bigi kushinda harrier mugithi
hatunanga kichana nywele tun_z_achilianga chini kama mungiki
naona marithe zitakua cheap biden akikalia hio seat
ngithe zihupigwa key kesho yake unaskia vault iko nill
system si hupiga b zabe tunachill na squad ya d
mandem hivo ndio alijua kuwapin kwa street
uko na gun na hauna badge… ajе?
tuko club liquor imerun tuko stranded yoh
wapi mshande? yout wamangе
end month na haijakam, watu washandwe
carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa
carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa
ma reunion zetu, si hupatananga tukienda ingata
stone yangu ya kwanza, mi huk_mbuka nikiichukulia biafra
magava hawakunibamba niliuliza nganya nikaingia angasa
inaitwa uber diving na sibongi sana otherwise nitakuwa vulgar
mode alimwambia ye huwa hashiki kitu ye hushika tu mkia
kufika 16 hakuwai shika p2 alishika tu mimba
amina ye huaminia adi anageuza teacher mjinga
alianza kutupima akakua politician sai amegeuka k!ller
system system sai hadi lion akapatiwa ganji anadiste
niite kite ka uko na key tusanif hizo bangi tuive
mdihe alinichuja kufika mtiecha me hupata mndila alifunga
mndila alifunga kufika mesti nimeiva mdihe akanichuja
uko na gun na hauna badge… aje?
tuko club liquor imerun tuko stranded
wapi mshande? yout wamange
end month na haijakam
carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa
carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura
eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
naskia imekaribia kura
hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa
f_k it

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...